​mnh basi hapo ataondoka yeye.nyumbani siondoki lakini huyo mwanamke nitamfunza namna ya kuacha waume za watu na mume wangu nikigundua ana cheat kwa vizibitisho hataisahau hiyo siku
​mnh basi hapo ataondoka yeye.
mi nikimshika mtu na mume wangu namtoa kinyama
na huyo mwanaume ataeleza vizuri
Dawa ni kuwa mbabe
michepuko kwa stahili ya kipole pole kama uloyoitaja haiiishi
nyumbani siondoki lakini huyo mwanamke nitamfunza namna ya kuacha waume za watu
na mume wangu nikigundua ana cheat kwa vizibitisho hataisahau hiyo siku
Umeongea kishujaa hapa lkn cjui km utawezaa kuyatendeaa haki maneno yk?