Ili kuboresha utoaji Wa elimu bora serikali itoe ruzuku kwa shule binafsi

Lendomz

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
446
381
Ikiwa vyama vya siasa ambavyo mahala pengine vimesababisha umaskini vinapewa mabilion ya pesa ya ruzuku kwa nini shule ambazo zinafanya vizuri zisipewe ruzuku ili ada ipungue na wazazi maskini waweze kupeleka watoto wao kwenye hizo shule nzuri??
 
Back
Top Bottom