Ili iweje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ili iweje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MUSINGA, Oct 29, 2010.

 1. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Kuna baadhi ya wanaume tena wengine wababa wazima wakuwa na wajukuu majumbani wakiwa sehemu zenye watu wengi bila kujali mazingira au watu aliokaa nao wanaheshimiana vipi,akishaona wanawake anaanza kuhadithia namna anavyojua kudoo.ni kwamba mnatafuta sifa tuu au mnataka waje wawajaribu?
   
Loading...