Ilhan Omar's Firsts

Ilhan Omar's Firsts

Jihan Omar ni mwanamke wa kwanza wa Kisomali, Muislam anevaa hijab katika ndani ya Senate ya Marekani.

Hongera Jihan, hongera Afrika, hongera Somalia, hongera Waislam wote duniani.
Watetezi wa Uislam wanaongeseka kwenye watunga Sheria wa Marekani, ni hatua kubwa sana kwa Uislam.



Ma shaa Allah
Masha Allah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemsikiliza huyo bint anasemaje?
Tunawafaha toka siku nyingi ni watu wakulalamikaga tu hilo jimbo unalifahamu kuliko wengine? Asilimia kubwa ya watu wa hili jimbo ni negros sasa yule hakupigiwa kura kwa kuwa ni muislamu asilimia kubwa ya wakazi wahili jimbo niwakristo sifa ya yeye kushinda siyo uislamu wala ukimbizi wake wala jalabibu ni kwa kuwa watu weusi wanahitaji kutoka katika mishororo ya kibaguzi.hapa nyumbani nyie niwakulialia tu jpm alisema mali za waislamu wameuza wenyewe sasa jiulize waliuza wakapeleka wapi? jibu ni moja tu ni kwamba kuongeza /wake/ sasa maendeleo utayapataje kama siyo kukwama kila uchwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anachoniudhigi huyu Bibi ni mbaguzi wa Dini mno. Sasa karudi tena jukwaani baada ya kupotea kwa muda mrefu ili aposti udini wake sababu muislamu mwenzake wa sunna kashinda uchaguzi marekani.
Ndio maana siku hizi sitaki kabisa Dini yeyote ile yamejaa ubaguzi, unafiki na chuki kama hili libibi FaizaFoxy.... Maaaaaaavi!

Kuwa na busara/Hekma, huoni kuwa unaongea na mtu mzima mwenye heshma zake, na huenda akawa msomi zaidi yako!
 
Tunawafaha toka siku nyingi ni watu wakulalamikaga tu hilo jimbo unalifahamu kuliko wengine? Asilimia kubwa ya watu wa hili jimbo ni negros sasa yule hakupigiwa kura kwa kuwa ni muislamu asilimia kubwa ya wakazi wahili jimbo niwakristo sifa ya yeye kushinda siyo uislamu wala ukimbizi wake wala jalabibu ni kwa kuwa watu weusi wanahitaji kutoka katika mishororo ya kibaguzi.hapa nyumbani nyie niwakulialia tu jpm alisema mali za waislamu wameuza wenyewe sasa jiulize waliuza wakapeleka wapi? jibu ni moja tu ni kwamba kuongeza /wake/ sasa maendeleo utayapataje kama siyo kukwama kila uchwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuuliza umemsikiza Ilhan anasemaje? Unakuja na porojo zisizo na kichwa wala miguu.

Umezisikia "firsts" anazozitaja? Ndiyo zimebeba title ya uzi huu.

Huwa sikisii.
 
Weka ushahidi. Kuwa Obama alisema yeye ni mvaa hijab wa kwanza kwenye senate.

Kwa watu kama wewe Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Safari yako wewe ni fupi isiyo na mafanikio kaa utulie, wala hujui niliko mafanikio niliyonayo siwezi kuyapata kwenye nchi yenye majuha kama ww.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo hongera africa, hongera somali hii ina maslahi yoyote kwa tanzania yako? malizia na hongera waislamu wote duniani shame on you

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siyo Mtanzania, kumbuka hilo. Mimi ni Mtanganyika.

Yangu Tanganyika, Tanzania ilinikuta na sikushauriwa kuwa Mtanzania.
 
Update: 04-01-2019

'My choice': Ilhan Omar becomes first to wear hijab in US Congress
Congresswoman overcomes 181-year headwear ban while Rashida Tlaib takes oath on Qur’an that belonged to Thomas Jefferson


David Smith in Washington
@smithinamerica
Fri 4 Jan 2019 03.41 GMT

Twenty-three years after leaving a refugee camp in Kenya, Ilhan Omar on Thursday became the first member of the US Congress to wear a hijab.

Rules were changed to allow Omar, a Muslim sworn in on the Qur’an, to wear a religious head covering on the floor of the House. There had been a 181-year ban on headwear of any type in the chamber.

“No one puts a scarf on my head but me,” she tweeted last November. “It’s my choice – one protected by the first amendment. And this is not the last ban I’m going to work to lift.”

Ilhan Omar, a Democratic representative from Minnesota, with Nancy Pelosi. Photograph: Erik S Lesser/EPA
Omar, a Democrat, was part of a historically diverse freshman class in the 116th Congress sworn in amid cheers and jubilation. The House now has a record 102 women and a new generation of Muslims, Latinos, Native Americans and African Americans, more closely resembling the US population and set to take on Donald Trump in a new era of divided government. But on the Republican side, the House still consists mostly of white men.

Soma zaidi: 'My choice': Ilhan Omar becomes first to wear hijab in US Congress
 
Mimi siyo Mtanzania, kumbuka hilo. Mimi ni Mtanganyika.

Yangu Tanganyika, Tanzania ilinikuta na sikushauriwa kuwa Mtanzania.
Hata ungejiita Zaire kuna chochote au kuna manufaa yoyote uliyoyapata kwa mabadiliko ya majina ya nchi yako na nyingine? Achaguliwe mwingine wewe uipongeze african na waislamu hii inakaaje hapo? Pengine ungempongeza kwa kuwa nikijana kuchaguli ktk bunge la senate ili na vijana wengine popote duniani na wao waone kuwa nao wanaweza siyo blabla zakishamba tu rekebisha bandiko lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom