Ilemela hakuna maji wiki sasa

Ilemela hakuna maji wiki sasa

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
17,079
Reaction score
12,309
Takribani wiki sasa maeneo ya buswelu nyakato na igoma hakuna maji, akina mama wanazunguka na ndoo utafikiri wako somalia. Majitaka yamekuwa mali hakuna cha kipindupindu nikuyachota kwa kwenda mbele.

Kesho nachimba choo cha shimo hivi vya kizungu havina maana tena.
 
ongereni week hakuna maji wakati wezenu uku Lindi muhimbili tuna miezi 8 hata Toni la maji ya bomba hatulioni mpaka bili ya maji tumesahau kabisa.
 
fanyeni mpango muibane serikali ya magufuli iwasambazie kutoka kwenye mito na ziwa hilo, ziwa mnatakiwa mlitunze sio mchafuechafue
 
fanyeni mpango muibane serikali ya magufuli iwasambazie kutoka kwenye mito na ziwa hilo, ziwa mnatakiwa mlitunze sio mchafuechafue

ikifika kesho hakuna maji tutaandamana kushinikiza meneja afukuzwe kazi haiwezekani nikichungulia dirishani nayaona maji ya ziwa halafu bombani hakuna maji.
 
ikifika kesho hakuna maji tutaandamana kushinikiza meneja afukuzwe kazi haiwezekani nikichungulia dirishani nayaona maji ya ziwa halafu bombani hakuna maji.

hiyo ndio spirit, ila kuna mabomu siku hizi
 
hiyo ndio spirit, ila kuna mabomu siku hizi

tupigwe mabomu kwa kutaka maji? Chakushangaza nyamagana maji ni tele, sisi tu ilemela ndo hakuna maji ni hujuma tu, hatukubali. Meneja lazima aondoke.
 
Back
Top Bottom