justus ndyanabo
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 444
- 379
Mlipewa t shirt na kofia mnalalamika maji ya nn mlivaa nguo zao za kampeni kelele za nn
ni kweli ila nawasiwasi meneja wa mwauwasa atakuwa mchagga hii ni hujuma tu, ila sisi na mama mabula damudamu
tupigwe mabomu kwa kutaka maji? Chakushangaza nyamagana maji ni tele, sisi tu ilemela ndo hakuna maji ni hujuma tu, hatukubali. Meneja lazima aondoke.
sasa wasukuma mlikua wapi hadi mtu atoke kilimanjaro kuja kuendesha mambo hapo kwenu?
Mlipewa t shirt na kofia mnalalamika maji ya nn mlivaa nguo zao za kampeni kelele za nn
hawa watu na wamasai wa ajabu sana hawataki kukaa kwao, hebu ona jamaa kaenda kuchungia ngombe Tanga sijui kwao kamaliza nyasi?