ILE ziara ya Rais BUSH hapa TZ. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ILE ziara ya Rais BUSH hapa TZ.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Exaud J. Makyao, Sep 14, 2009.

 1. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndugu wachambuzi wa mambo ya SIASA na KIJAMII,
  Hivi ile ziara ya Rais George W. Bush hapa TZ iliyo jaa mbwembwe na matarajio makubwa makubwa imeshazaa chochote cha kuelezeka?

  Wachambuzi leteni habari.
  Au ziara hiyo ilikuwa na Agenda ambayo haikutwa?
   
 2. Jerome

  Jerome Senior Member

  #2
  Sep 14, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumefaidi vyandarua mkuu
   
 3. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  JEROME,
  Alaa?,
  Kumbe mkuu.Ni ahadi au zimeshapatikana?

  If only that?????????????????????,,,,,,,,,??????.

  Ni hilo lilikuwa lengo kuu la ziara hiyo wakuu?
   
 4. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2009
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Vyandarua vimesaidia.
   
 5. M

  Mugerezi JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2009
  Joined: Mar 28, 2007
  Messages: 454
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  KUNA MIRADI YA BARABARA MCA KULE TANGA HOROHORO, RUKWA, SONGEA nafikiri iko njiani kuanza muda si mrefu.
   
 6. NgomaNzito

  NgomaNzito JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kanye West anakuja kupanda mlima Kilimanjaro kama alivyofanya Abromavich hahaaa

  Hivi ule mkutano wa Sullivan tulishanufaika???
   
 7. M

  Magezi JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Tutanufaika vipi bila mipango ya maana?
   
 8. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Labda hazijakamilika hizo faida:) au tusikie kwa wakuu wengine pia!Otherwise, labda Bush nae alikuja ili kufaidi yeye na nchi yake.

  Exaud, wewe binafsi hukuona chochote kabisa?
   
Loading...