Ile sikendo ya kutapeli nyumba ya mjane mama Ana kahangi imedhihirika baada kuitwa kwa mkuu wa mkoa

sisya

JF-Expert Member
Aug 9, 2014
264
96
Ile sikendo ya kutapeli nyumba ya mjane mama Ana kahangi imezihirika baada kuitwa kwa mkuu wa mkoa.Maro alipotakiwa kutoa hati ya mjane mama Ana Kihinga alidai hawezi kutoa bila mteja wake Bajuta kuwepo kwani alikuwa njee ya nchi,Bajuta alivyoingia leo jumapili alitakiwa wakae na wakili wamama kihinga alikata na kusema saizi yake ni magufuli sio mkuu wa mkoa gambo na kuitaka famalia hiyo ya balozi kihinga kwenda kokote.

Familia hiyo imekutana chini ya mama Rwemamu na kuamua kwenda kuonana na Muheshimiwa Raisi ili awasaidie kupata hati yao.Bajuta anasifika Arusha kwa ubabe na utapeli na ana kashfa ya pembejeo.Wameandika mkataba wa kulipa mama hela zake zikipitia kwa watu ambao hakutoa ridha kwa Maro kugushi,Maro amegizwa na msaidizi wa mkuu wa mkoa kumpelekea mkataba huo amegoma.

Nyumba hiyo ilikuwa iuzwe kwa ajili ya kufidia deni la mark aliyekuwa anaidai familia hiyo,Ndipo alipojitokeza ndugu wa familia na kukubali kulipa deni hilo ili nyumba usiuzwe lakini Maro na bajuta wanalazimisha kulipia hiyo nyumba.

Familia inamuomba Raisi Magufuli awasaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile sikendo ya kutapeli nyumba ya mjane mama Ana kihinga imezihirika baada kuitwa kwa mkuu wa mkoa.Maro alipotakiwa kutoa hati ya mjane mama Ana Kihinga alidai hawezi kutoa bila mteja wake Bajuta kuwepo kwani alikuwa njee ya nchi,Bajuta alivyoingia leo jumapili alitakiwa wakae na wakili wamama kihinga alikata na kusema saizi yake ni magufuli sio mkuu wa mkoa gambo na kuitaka famalia hiyo ya balozi kihinga kwenda kokote.Familia hiyo imekutana chini ya mama Rwemamu na kuamua kwenda kuonana na Muheshimiwa Raisi ili awasaidie kupata hati yao.Bajuta anasifika Arusha kwa ubabe na utapeli na ana kashfa ya pembejeo.Wameandika mkataba wa kulipa mama hela zake zikipitia kwa watu ambao hakutoa ridha kwa Maro kugushi,Maro amegizwa na msaidizi wa mkuu wa mkoa kumpelekea mkataba huo amegoma.Nyumba hiyo ilikuwa iuzwe kwa ajili ya kufidia deni la mark aliyekuwa anaidai familia hiyo,Ndipo alipojitokeza ndugu wa familia na kukubali kulipa deni hilo ili nyumba usiuzwe lakini Maro na bajuta wanalazimisha kulipia hiyo nyumba.Familia inamuomba Raisi magufuli awasaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maro anazeeka vibaya anamfuata bajuta huyu bajuta ni jambazi wa magari kwenye pembejeo ndio usiseme serikali imemsahau ikimshutia anamfilisi hadi ndala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom