View attachment 692462
Dar mpya inakuja na itakuwa na miundo mbinu kama hii.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Abbasi amesema Mwaka huu serikali itakamilisha upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa barabara saba za juu (flyover) ktk jiji la Dar es Salaam. Barabara hizo zitajengwa ktk maeneo ya Chang’ombe, Uhasibu, Mwenge, Morocco, Kamata, Magomeni na Tabata