Mbingo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 411
- 230
Ni wiki kadhaa sasa zimepita tangu Mwenyekiti wa CHADEMA kuzindua operation yenye jina tata lililozua utata iliyoitwa Kata funua ile iliyofuata badala ya ile ya UKUTA.
habari zake hazisikiki loool upinzani umepoteza ubunifu pamoja na Serikali kupanua goli wanashindwa kuleta hamasa kwa wananchi.
habari zake hazisikiki loool upinzani umepoteza ubunifu pamoja na Serikali kupanua goli wanashindwa kuleta hamasa kwa wananchi.