Ile ndoa imesambaratika!

Kwenye kesi hii, mwanaume ndo mwenye uchumi bora. Zaidi ya 90% ya mali alizoondoka nazo mke likiwemo gari, alinunua mume

Bazazi
Mfumo dume kuwa mwanamke hana mali. Yaan mwanamke akiolewa hata akiwa na kazi na anachangia pato la familia mchango wake huwa hauonekani...

Wanaoingia kwenye ndoa na wanafanya Shughuli ya kuwaingizia kipato lazima wawe makini na utaratibu wa kununua asset au uwekezaji wowote wa familia.

Tatizo mchango wa mwanamke unaishia chooni. Mbona wale wanaoishi wenyewe wanafanya maendeleo yao?!?

Mabinti muamke acheni kuabudu ndoa wakati wanaume hawaoni kama ni kitu muhimu katika maisha ya binadamu.
 
Simple acheni kuolewa na muishi wenyewe kama mnaona ndoa ni manyanyaso. Tena msijihusishe na wanaume kabisa kama mnataka ile raha tumieni dildo tu hili kuonesha kweli hamna uhitaji wowote na wanaume.
 
Tatizo wanaume wanajua wanawake wanatetemekea Sana ndoa..
Ndio maana mwanaume akioa tu anaanza kuchepuka bila woga na mke akilalamika anaambiwa atulie kwa kuwa ameshaolewa ana shida gani
Kwa comments kama hizi naamini wewe utakuwa ni muachika au old cargo mmoja matata sana. Na furaha yako ni kuona wanawake wengi wanaishi maisha yanayofanana na yako.
 
So unashauri jamaa angemruhusu afuate hisia zake?
 
Kwenye kesi hii, mwanaume ndo mwenye uchumi bora. Zaidi ya 90% ya mali alizoondoka nazo mke likiwemo gari, alinunua mume

Bazazi

nimesoma thread lote...nimetoka kapa

kuna umuhimu wa connection;ila 'chomoa betri'
 

Wakiachana/wakutengana, huyo mwanamke hatakuwa salama kwani uthamani wake ni pale alipokuwa ameolewa. Wakishaachana, basi huyo aliye mfanya waachane ataona hana tena mwelekeo na msimamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…