Bazazi
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 2,806
- 3,502
Majuzi nilikuja na uzi huu
www.jamiiforums.com
Ile ndoa ni kama imekwisha kwani wametengana (ndoa ya Kikristo). Hiyo ni kutokana na mume kuona haina haja ya kwenda mahakamani kwani ni kujidhalilisha tu. Ukweli ni kujidhalilisha maana kuna msemo wa kizungu unadai "YOU HAVE FAILES AS A MAN, IF ANOTHER MAN MAKES YOUR WOMAN HAPPY!." Mvurugano umetokea tarehe 26/09/2019 ambapo mume alimuita Baba Mkwe na kumuonesha ushahidi hasa wa walivyokuwa wakipigiana simu hata baada ya mume kungundua ambapo wakati mwingine walikuwa wakiongea akiwepo (hajui walichokuwa wakiongea).
Aliyesambaratisha ndoa ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Shule ya Sheria na Idara ya Sheria za Uchumi. Mhadhiri ana shahada 4 za sheria ambazo ni
1. LLB ya UDSM
2. LLM ya UDSM
3. LLM ya Notre Dame
4. PhD ya UDSM
Mhadhiri ni Mpare akiwa kakulia Arusha ktk kijiji cha Lerai - Arumeru ambako nduguze bado wanaishi.
Mume anawatakia maisha mema iwapo wataendeleza uhusiano wa kimapenzi.
Bazazi!
Ndoa Inavunjika Hiyo!
Waungwana, Bazazi kasimuliwa na mdau wake jinsi ndoa yake inavyoyumba. Kafumania simu ya mke ikiwa na sms za wasap na za kawaida. Anawasiliana na mpenzi wake wa pili baada ya kiwambo kuondolewa. Ni sms za mahaba hasa tena mazito. Mume kambana mkewe, mke hafunguki. Ana ahidi atavunja mawasiliano...
Ile ndoa ni kama imekwisha kwani wametengana (ndoa ya Kikristo). Hiyo ni kutokana na mume kuona haina haja ya kwenda mahakamani kwani ni kujidhalilisha tu. Ukweli ni kujidhalilisha maana kuna msemo wa kizungu unadai "YOU HAVE FAILES AS A MAN, IF ANOTHER MAN MAKES YOUR WOMAN HAPPY!." Mvurugano umetokea tarehe 26/09/2019 ambapo mume alimuita Baba Mkwe na kumuonesha ushahidi hasa wa walivyokuwa wakipigiana simu hata baada ya mume kungundua ambapo wakati mwingine walikuwa wakiongea akiwepo (hajui walichokuwa wakiongea).
Aliyesambaratisha ndoa ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Shule ya Sheria na Idara ya Sheria za Uchumi. Mhadhiri ana shahada 4 za sheria ambazo ni
1. LLB ya UDSM
2. LLM ya UDSM
3. LLM ya Notre Dame
4. PhD ya UDSM
Mhadhiri ni Mpare akiwa kakulia Arusha ktk kijiji cha Lerai - Arumeru ambako nduguze bado wanaishi.
Mume anawatakia maisha mema iwapo wataendeleza uhusiano wa kimapenzi.
Bazazi!
au Ubazazi ndio umefanya kuyajua yote haya.