Ile mvua aliyoitabiri Prof. Shivji imeanza rasharasha

Kwa Kiingereza cha ndani wanaita 'throwing a red herring' Herring ni aina ya samaki mdogo. Ukitaka mtu asikamate samaki mkubwa unaweka kwenye maji hako kasamaki kadogo lakini kenye rangi nyekundu ya kupendeza. Mvuvi mlengwa anaacha kufuatilia samaki mkubwa anafuatilia samaki mdogo. Kama hujaelewa kalagabaho.
 
Alichosema Prof Shivji ni sahihi kabisa. Unalotakiwa kufikiria wewe Mavipunda kwenye hivyo viwanda unavyotaka uletewe wewe utachangia nini???? au unaamini maneno ya wanasiasa??
wanaobaki wakisema vijana mjiajiri wakati wao wameajiriwa?? vijana msisikilize wanasiasa wanawapotosha ili khali wao ni wanasiasa??
Nadhani hivi ni pamoja na mashine za kusaga na kukoboa nafaka, carpentries za mitaani, mafundi koroboi, gereji za magari na pikipiki na mafundi wa kushona nguo na viatu.
 
Huu ndio utabiri alioutabiri Nyerere, kuna kundi sasa linajuta kuwa ndani ya ccm, ubabaishaji mwiiiingi wakirudi kwa wananchi wanashindwa la kuwajibu.
 
Kinachoendelea now Mungu saidia mimi naogopa..... Nikukumbuka siku Makonda alivyotajwa kuwa RC wa Dar nilijua sasa kwisha....
 
Alichosema Prof Shivji ni sahihi kabisa. Unalotakiwa kufikiria wewe Mavipunda kwenye hivyo viwanda unavyotaka uletewe wewe utachangia nini???? au unaamini maneno ya wanasiasa??
wanaobaki wakisema vijana mjiajiri wakati wao wameajiriwa?? vijana msisikilize wanasiasa wanawapotosha ili khali wao ni wanasiasa??
Acha kuhemka tuliza akili yako kabla ya kuongea kitu kinachohitaji tafakuri ya kina
 
Sasa utawala umeanza kuchafua watu wenye heshima zao bila kufuata misingi ya utawala bora na sheria za nchi

Mkuu;
Nchi imewachafuaje watu wenye hishima?? Haijawachafua bali imewainua juu sana. Wapo ambao walikuwa hawajulikani sasa ndo watajulikana kisawasawa. Ngoja wawashinde usikie fidia watakazo lipwa. Nadhani ni zaidi ya hizo wanazopata wenye unga wao.
 
viwanda vya kwenye makaratasi
we, waziri hawezi kudanganya bwana! Acha majirani zetu wajenge viwanda vya kuassemble magari sisi tutajenga vya kuunda na kulitengeneza gari zima na kuliandika 'made in Tz'. hakika utashuhudia hili kabla ya 2025!
 
Wabunge tumieni instagram live tuone yanayoendelea humo ndani jamani.. au na nyie 50 MB!!!!?
 
Kwa Kiingereza cha ndani wanaita 'throwing a red herring' Herring ni aina ya samaki mdogo. Ukitaka mtu asikamate samaki mkubwa unaweka kwenye maji hako kasamaki kadogo lakini kenye rangi nyekundu ya kupendeza. Mvuvi mlengwa anaacha kufuatilia samaki mkubwa anafuatilia samaki mdogo. Kama hujaelewa kalagabaho.
[emoji1]
 
Acha uchochezi asubuhi hii, kamuulize Mh. Mwijage akupe data za viwanda ...si nasikia vimefikia 78,000 hadi sasa!
Viwanda havianzishwi kisiasa viwanda ni matokeo ya utafiti wa biashara, mazingira soko n.k. ukianzisha biashara bila kujua soko, malighafi na kiwango cha ushindani ujue unaanzisha magofu yatakoyotumika kama vyuma chakavu baadae. Nia ni njema bali taratibu za kisayansi/kibiashara lazma zifuatwe sio kirahisi hivyo.
 
we, waziri hawezi kudanganya bwana! Acha majirani zetu wajenge viwanda vya kuassemble magari sisi tutajenga vya kuunda na kulitengeneza gari zima na kuliandika 'made in Tz'. hakika utashuhudia hili kabla ya 2025!
hivyo viwanda nadhani vya wachina wakija tz,sisi watatuajiri kama wapaka rangi za magari
 
Viwanda havianzishwi kisiasa viwanda ni matokeo ya utafiti wa biashara, mazingira soko n.k. ukianzisha biashara bila kujua soko, malighafi na kiwango cha ushindani ujue unaanzisha magofu yatakoyotumika kama vyuma chakavu baadae. Nia ni njema bali taratibu za kisayansi/kibiashara lazma zifuatwe sio kirahisi hivyo.
Kwa hiyo unamshauri Mh. waziri wakavibomoe ili wakafanye research kwanza!? Alafu henda vikawa viko mbali maana kwenye maeneo yangu sivioni bali nasikia vipo!
 
Sasa utawala umeanza kuchafua watu wenye heshima zao bila kufuata misingi ya utawala bora na sheria za nchi

Heshima vipi wakati wanauza au kutumia Ganda. Mfano Idd Azani kila mtu alikuwa anamtaja iweje leo tuone shida kisa katajwa na makonda
 
Back
Top Bottom