Mavipunda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 7,005
- 7,736
Prof. Shivji kipindi Max anashiliwa kuhojiwa na Polisi alisema hivi ukiwanyamazisha watu kwa vitisho ili wasikukosoe au ukawajenga woga ili waogope kukukoso basi subiria mvua za mababu zinyeshe.
Hali inavyoendelea huko bungeni ni dhahiri kwamba watu wameanza kuchoka na ubabaishaji unaondelea kwa sasa.
Laiti jana usiku yale yaliyokuwa yakijiri bungeni yangekuwa LIVE leo hii kuna watu wangejiuzulu..ni aibu nchi ilipofikia.
NB.
Tunataka viwanda ili kuongeza wigo wa ajira na sio comedy za kijinga.