Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,847
- 47,477
Ngoja nipite nina povu la hatari na huu upuuzi unaoendelea
Tutajia hivyo viwanda na vimemuajiri nani?Kwa hiyo unamshauri Mh. waziri wakavibomoe ili wakafanye research kwanza!? Alafu henda vikawa viko mbali maana kwenye maeneo yangu sivioni bali nasikia vipo!
Hahahahahaha tutaexport koroboi USANadhani hivi ni pamoja na mashine za kusaga na kukoboa nafaka, carpentries za mitaani, mafundi koroboi, gereji za magari na pikipiki na mafundi wa kushona nguo na viatu.