Ile kazi imetiki, naombeni ushauri

Ile kazi imetiki, naombeni ushauri

Eeh!Ukibisha mlango wa mbele ukaona haufunguki, unazunguka nyuma ya nyumba na kuingia kupitia mlango wa uani [emoji3][emoji3][emoji3]
Dah Kazi ipo..ila serikalini raha Hawa jamaa nlchogundua nlpofika pale ofisini Ni wako idle mda mwingi wanasubiria madili tu
 
Bora wawe idle. Wakikaza, hamna bidhaa itakayoingia sokoni. 😀😀😀
 
Mkuu yaani we hadi unafanya interview unafaulu bado hujui what skills u-apply kwenye hiyo kazi? Kweli hujui do's and don't za hiyo kazi mkuu uliyosomea na kuifaulia interview.

Unless kama lengo la uzi wako ni kutusimulia kuwa umepata kazi na kama ni kweli umemaanisha kwa uzi huu basi hukufaulu hii interview umepigiwa connection tu hii kazi
Mpuuuzi sana huyu jamaa.

Hajielewi..sijui kapataje hiyo kazi.
 
Mnaosema mtoa maada hajielewi acheni dharau ebu jaribuni hata kutembelea forum Kama quora muone ma great thinker wanavyojadiliana
 
Assalam alaykum, bwana Yesu asifiwe

Wakuu ile Kazi niloleta Uzi kuhusu interview yake imetiki. Post yenyewe Ni QA/QC (quality control) kwenye FMCG food industry. Naripoti kesho.

Ushauri mpya naowaomba wakubwa zangu na seniors zangu

Naombeni mnisaidie:
How to make a good first impression
Do's and don'ts kwenye hii Kazi(QA/QC)
Do's and don'ts kwenye Kazi yoyote in general
How to perform 100%+
What skills I need to apply for this post.
The two and only:
1. Usijifanye mjuaji, kuwa mpole
2. Kuwa tayari kufundishika hata kama kitu unakifaham

Nikutakie safari mpya ya maisha ya ajira!
 
Ushauri wangu mkubwa zaidi ya yote, be yourself! Kila taasisi ina culture na values zake, utatakiwa kujitwist kufit kwa organizational culture and values.. Lkn usisahau kuwa wewe!!
Kilichokupeleka ni kupiga kazi na siyo muonekano wala associations, jikite kwenye roles zako na kuwa wewe.
Mengine yataflow tu.
 
Hapo kinachotakiwa ni uchawa tu. Usijifanye mjuaji. Mheshimu boss, cheka na kila mtu. Mnachoenda kufanya hapo ni rubber stamping tu. Kila batch inayozalishwa mtapaswa kuchukua samples na kutest kama mzigo umekidhi viwango vilivyoainishwa na TBS au mashirika ya viwango ya kimataifa. Kama kampuni yenu haijawa ISO certified, ni uwanja wako kupalangana muwe certified.
👏👏👏👏👏👏👏
But----
Kuwa chawa-Hapana
Kutojifanya mjuaji-Ndiyo. Tega sikio kwa kila unachoelekezwa, hata kama unajua as long as hakichukui muda wako, tega sikio.. Utanishukuru uzeeni
Mheshimu Boss-Ndiyo; japo me nshamwambia boss wangu zamani, kuwa naheshimu roles zangu. Kuheshimu roles zangu ndo kunakonifanya niwe na mahusiano mazuri kiwango cha lami na boss wangu---
Kucheka na kila mtu? Hapana.. Do your roles and go home. Kama ni mvivu hii silaha ya kucheka cheka itakusaidia
Mengine-Mkuu Bemendazole ameyaongea kiutaalam zaidi
 
The two and only:
1. Usijifanye mjuaji, kuwa mpole
2. Kuwa tayari kufundishika hata kama kitu unakifaham

Nikutakie safari mpya ya maisha ya ajira!
Dah Kweli...leo Kuna jamaa alikuwa ananifundisha kutumia stopwatch [emoji23][emoji23]
 
Hongera,dress well na confidence plus ku smile...that's how we do it

Style yangu nyingine namsikiliza kila mtu hadi mlinzi na mfanya usafi na nasmile ila nachojua ni kutimiza majukumu yako na kwenda nyumbani no one loves you
 
Point taken,,Asante Sana kaka
 
Ushauri wangu mkubwa zaidi ya yote, be yourself! Kila taasisi ina culture na values zake, utatakiwa kujitwist kufit kwa organizational culture and values.. Lkn usisahau kuwa wewe!!
Kilichokupeleka ni kupiga kazi na siyo muonekano wala associations, jikite kwenye roles zako na kuwa wewe.
Mengine yataflow tu.
[emoji120][emoji120] point taken... shukran brother
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
But----
Kuwa chawa-Hapana
Kutojifanya mjuaji-Ndiyo. Tega sikio kwa kila unachoelekezwa, hata kama unajua as long as hakichukui muda wako, tega sikio.. Utanishukuru uzeeni
Mheshimu Boss-Ndiyo; japo me nshamwambia boss wangu zamani, kuwa naheshimu roles zangu. Kuheshimu roles zangu ndo kunakonifanya niwe na mahusiano mazuri kiwango cha lami na boss wangu---
Kucheka na kila mtu? Hapana.. Do your roles and go home. Kama ni mvivu hii silaha ya kucheka cheka itakusaidia
Mengine-Mkuu Bemendazole ameyaongea kiutaalam zaidi
Kwanini Kuwa Chawa ni vibaya?
 
Mnaosema mtoa maada hajielewi acheni dharau ebu jaribuni hata kutembelea forum Kama quora muone ma great thinker wanavyojadiliana
Yeah it is sad kweli...Quora Imenisaidia vingi,,jinsi ya kuapply Kuandika CV,Kila process nimetumia Quora
Kuandika Barua yakukubali interview,kuandika Barua ya kukubali Kazi,kujibu interview.
Maswali ambayo Najua ningeuliza huku JF watu wangeishia kutukana tu
 
Nenda kawapandishie mabega wote uliowazidi cheo kuanzia cleaners ili uje tena hapa kuomba ushauri kwamba ufanyeje pale wafanyakazi wenzio wanapokuchukia bila sababu
 
[emoji3]Ntakuja usijali
 
Back
Top Bottom