Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,233
- 138,746
Naomba kufahamu, je, hii inakuwa FVS inakuwa imeruhusiwa na CAF na FIFA au huwa hakuna kipingamizi cha aina ya teknolojia ya kutumia katika mpira?Tanzania utani ni mwingi sana.
Otherwise mnisaidie kujua, kwenye mechi ya jana pale Amaan Stadium ile ni VAR au Azam Tv. Pembeni niliona wamefunga antena.
Wameruhusiwa kuitumiaNaomba kufahamu, je, hii inakuwa FVS inakuwa imeruhusiwa na CAF na FIFA au huwa hakuna kipingamizi cha aina ya teknolojia ya kutumia katika mpira?