Ile hoteli ya Morogoro ishavunjwa?

Ile hoteli ya Morogoro ishavunjwa?

jellyFish

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
316
Reaction score
127
Katibu mkuu TAMISEMI akionekana anaamaanisha, aliamuru hoteli iliyopo maeneo ya Msamvu Morogoro ivunjwe mara moja kwa kujengwa eneo la wazi. Je, Sagini amelisamamia hilo au anamsubiri Majaliwa?
 
Anatafutwa
Mkandarasi wa kuvunja toka nje ya nchi
 
Nimejitahidi kuwaelewesha kuwa kama wakivunja itabidi wanilipe kwa sababu nina vibali vyote vinavyoniruhusu kujenga, nimefurahi sababu wamenielewa hawataivunja tena. Wameniomba na samahani, nimewasamehe.
 
Ni sawa na kuuliza tanesco ubungo lishavunjwa?
 
Nimejitahidi kuwaelewesha kuwa kama wakivunja itabidi wanilipe kwa sababu nina vibali vyote vinavyoniruhusu kujenga, nimefurahi sababu wamenielewa hawataivunja tena. Wameniomba na samahani, nimewasamehe.
Kwani maskini yule mpaka avunjiwe?nilichangia hapa ktk Uzi uliofutwa Kuwa kaombwa samahani.ukijua serikali zilianzishwaje utoshangaa hiki nilichokiandika
 
Tanesco ubungo ikivunjwa na hii hotel itavunjwa!
 
Nimejitahidi kuwaelewesha kuwa kama wakivunja itabidi wanilipe kwa sababu nina vibali vyote vinavyoniruhusu kujenga, nimefurahi sababu wamenielewa hawataivunja tena. Wameniomba na samahani, nimewasamehe.

Kwani we Mshikawezi ndo mmiliki?
 
Kwani ipo jangwani??? Anyway ipo na watu bado wanaendelea kula bata pale
 
Back
Top Bottom