Ile hoteli ya Morogoro ishavunjwa?

jellyFish

JF-Expert Member
Mar 6, 2013
316
127
Katibu mkuu TAMISEMI akionekana anaamaanisha, aliamuru hoteli iliyopo maeneo ya Msamvu Morogoro ivunjwe mara moja kwa kujengwa eneo la wazi. Je, Sagini amelisamamia hilo au anamsubiri Majaliwa?
 
Nimejitahidi kuwaelewesha kuwa kama wakivunja itabidi wanilipe kwa sababu nina vibali vyote vinavyoniruhusu kujenga, nimefurahi sababu wamenielewa hawataivunja tena. Wameniomba na samahani, nimewasamehe.
 
Kwani maskini yule mpaka avunjiwe?nilichangia hapa ktk Uzi uliofutwa Kuwa kaombwa samahani.ukijua serikali zilianzishwaje utoshangaa hiki nilichokiandika
 
Nimejitahidi kuwaelewesha kuwa kama wakivunja itabidi wanilipe kwa sababu nina vibali vyote vinavyoniruhusu kujenga, nimefurahi sababu wamenielewa hawataivunja tena. Wameniomba na samahani, nimewasamehe.

Kwani we Mshikawezi ndo mmiliki?
 
Back
Top Bottom