Futota
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 521
- 88
Ndugu zangu wana JF,
lile gari escudo, milango mitatu bado linauzwa na mwaka huu bei imezidi kushuka (kwani itabidi ulipie road permit ya miaka miwili (post). Bei sasa ni Tshs milioni 2 na nusu tu! Linatembea. Nitumie Private message tuongee zaidi, kama utapenda.
Shukran!