Cha ajabu hadi leo kuna watu wanaamini walikwepoIlikuwa danganya toto kula kunde mbichi tuu....japo hata mimi niliwakimbia saanaa asee hawa nyonya damu hewa,.
Mmhh...labda kama walishanyonywa kweli..
Ukweli wake ukoje?Ukienda bariadi bado wanaamini hawa watu wapo mi mwenyewe watoto walikuwa wanachunga waliponiona wakakambia
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaDah nakumbuka siku moja mzungu alifanya jogging kijijini kwetu wacha tutoke nduki huku tukipiga kelele mnyonya damuuu...ilikua dhana potofu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha.... Wala siyo kuichafua serikali. Wanasiasa wapo wa aina nyingiHii imekaa vp maana kama ni kuchafuq serikali
Usalama wa hiyo damu vp?Inasemekana kuwa kipindi hicho suala la kutoa damu kwa kujitolea lilikuwa gumu sana hivyo njia ya kukamata watu na kutoa damu ilikuwa ikitumika kama mbadala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo kazi zinaendelea hadi leo lakini kwa namna nyingine.Humu hakuna alowah kufanya hizo kazi?
Miaka ya 80-90 tukiwa wadogo kuna uvumi kwamba kuna wanyonya damu.
Hata tukiona magari ya red Cross tunakimbia Sana.
Hawa wanyonyadamu walikuwepo kweli au ndo ile danganya toto?
Nimemkumbusha mke wangu nae kwao walikuwa na hiyo dhana....vp maeneo mengine?
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaNdio mbinu zilikuwa zinatumika na wanasiasa kueneza hofu na ujinga kwa jamii