Ile dhana ya wanyonya damu ilikuwa ni kweli?

Ok9

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
4,524
4,082
Miaka ya 80-90 tukiwa wadogo kuna uvumi kwamba kuna wanyonya damu.
Hata tukiona magari ya red Cross tunakimbia Sana.

Hawa wanyonyadamu walikuwepo kweli au ndo ile danganya toto?

Nimemkumbusha mke wangu nae kwao walikuwa na hiyo dhana....vp maeneo mengine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu hakuna alowah kufanya hizo kazi?
Hizo kazi zinaendelea hadi leo lakini kwa namna nyingine.

Mfano siku hizi damu zinachukuliwa sana kwa njia ya mauaji mbali mbali mfano ajali, mauaji ya watoto kama huko Njombe nk, bado yanaendelea.
 
Nadhan hii iliitwa wanyonya damu,, kwa kile kilikuwaga kinatokea watu kutekwa na kuchunwa ngozi
Miaka ya 80-90 tukiwa wadogo kuna uvumi kwamba kuna wanyonya damu.
Hata tukiona magari ya red Cross tunakimbia Sana.

Hawa wanyonyadamu walikuwepo kweli au ndo ile danganya toto?

Nimemkumbusha mke wangu nae kwao walikuwa na hiyo dhana....vp maeneo mengine?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule kwetu Kilimanjaro hii kitu ilishamiri Sana,Hili neno wanyonya damu lilitikisa mno
Nilikuja kuchunguza nikaambiwa kuwa serikali ilikuwa ikihitaji damu kwa ajili ya wagonjwa ma hospital Sasa watu kwa kipindi hicho hawakuwa na uelewa ikabidi watumie mbinu hiyo
Nasikia wengine walikuwa wanakufa unakuta damu imetolewa nyingi
Nilihadithiwa tu na mm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom