Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Huko nyuma walianza kuonekana kama waganga njaa ambao wanatumia siasa kujinufaisha.
Ndio maana wakiitwa Ikulu wanakimbia kula pilau na juice.
Leo hii wamekomaa na Sakata la Bandari. Wamechambua na kueleza namna huu mkataba haufai. Wananchi wanawaamini kama Wapinga ufisadi
Wamerejesha imani kwa wananchi, japokuwa sio kama enzi zile