Ile couple matata kabisa ya Diamond Platnumz na Zarithebosslady imevunjika rasmi

Laana ya Ivan hiyo inawaandama...!! Hata kama si kweli basi yatatimia siku moja...!!

Malipo ya msaliti huwa yanaanza kulipwa hapa hapa Duniani...!
 
Kama nikweli !!


Basi wanaume tumeumbwa mateso ,,,, ivi mwanamke kama ZARY naanzaje kuaachana naye ???????. Sema hapo Diamond ndo kaachwa Maana Zary anahitaji heshima yeye sio kwamba alikua na Diamond kipesa ,,pesa anazo.

Nihitimishe kwa kusema ,,jamaa kaachana na AK 47 kisa marungu


Huu ukuni hauna shukrani huu, sasa we fikiria unaanzaje kumuacha mtoto kama Beyonce kauanika tu nyumbani we ukasake machangudoa? Sasa hayo ndio yaliyomkuta mwanaume mwenzetu Jay Z. Yaani hili rungu ni mtihani mkubwa huu. Tusamehewe tu.
 
Hivi nyie watu wa ajabu mnaojidai hampendi ubuyu huku ubuyuni mmefata nini?eti fanyeni kazi acheni majungu?.?bila ubuyu na Maisha haya ya bongo yalivyo magumu si tutakufa mapema?nyie ndo mlisomaga pcm na pcb
 
Huu ukuni hauna shukrani huu, sasa we fikiria unaanzaje kumuacha mtoto kama Beyonce kauanika tu nyumbani we ukasake machangudoa? Sasa hayo ndio yaliyomkuta mwanaume mwenzetu Jay Z. Yaani hili rungu ni mtihani mkubwa huu. Tusamehewe tu.
Yaaaan uhun auna maana ,,kuna wakati unajikuta unapoteza Dhahabu kimchezo chezo kisa tuuu machangudoa...

Zary kila nikimuangalia ,, daaahhhh huwa naishia kutikisa kichwa .....

Ujue mkuuu kuna wanawake waliumbwa kuongeza idadi yawanawake ila wengine waliumbwa kuja kua wake Wetu
 
HTE="Jembekillo, post: 23777956, member: 61928"]mkuu mbona povu,we avatar yangu umeielewaje. halafu kwa nini unaniwekea kauzibe kwenye mali za mwanaume mwenzangu?[/QUOTE]
Haya mkuu nimeondoa hako kauzibe.......ukizipata usinisahau
 
Back
Top Bottom