Ile couple matata kabisa ya Diamond Platnumz na Zarithebosslady imevunjika rasmi

="Numbisa, post: 23778428, member: 403420"]Kiaje mkuu picha hizo

Picha hizo nshaweka[/QUOTE]
Asante mkuu
 
Mkuu imeandikwa mpende jirani yako kama unavyojipenda hivyo na ya jirani yanatuhusu
Watz tufanye kazi tuache kupoteza muda kuaghulika na mambo ya watu wengine kwani kuachana nako pia ni kitu cha ajabu maana ss watanzania wote tumekuwa shilawadu tunaacha kutazama maisha yetu tunaangalia maisha ya wengine tubadilike
 
Wenye shule watampelekesha kofi moja jamaa analala polisi na kesi mahakamani. Bora aendelee na hao hao wenye shule kama yake
Wadada wanamfuata wenyewe,hela zake katafuta mwenyewe,kwanini asiwatafune tu hakuna namna lazma awatafune ....shida iliyopo anadate na wauza mpapa hawana mbele wala nyuma....atulie atafute mdada mwenye shule afunge nae ndoa
 
Aah mkuu angelia chumbani tungepatia wapi ubuyu jaman
Zari naye muda mwingine kama hajielewi kwani kufuta majina kwa social media ndio inaondoa uhalisia kuwa siyo baba yao
Angejikalia kimya tu akalia chumbani weeeee huku mitandaoni anajichoresha tu
 
Watz tufanye kazi tuache kupoteza muda kuaghulika na mambo ya watu wengine kwani kuachana nako pia ni kitu cha ajabu maana ss watanzania wote tumekuwa shilawadu tunaacha kutazama maisha yetu tunaangalia maisha ya wengine tubadilike
Huu uzi upo jukwaa sahihi kabisa. Ukija jukwaa hili la celebrities tutazungumzia tu maisha yao kila jambo na wakati wake kuna wakati wa kutizama maisha yetu na wakati wa kutizama maisha ya wengine ili tujifunze kupitia makosa yao.
 
Wenye shule watampelekesha kofi moja jamaa analala polisi na kesi mahakamani. Bora aendelee na hao hao wenye shule kama yake
Jina lake ni kubwa lazma apate mwanamke mwenye elimu siyo hao wauzaji wenye njaa kali,mtu yuko busy kupiga picha getto ili awaonyeshe wenzie.....kweli chibu anachukua vibudu kabisa yani vimetumika haswa vingine marinda yameisha kitambo

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Kama nikweli !!

Basi wanaume tumeumbwa mateso ,,,, ivi mwanamke kama ZARY naanzaje kuaachana naye ???????. Sema hapo Diamond ndo kaachwa Maana Zary anahitaji heshima yeye sio kwamba alikua na Diamond kipesa ,,pesa anazo.

Nihitimishe kwa kusema ,,jamaa kaachana na AK 47 kisa marungu
 
Back
Top Bottom