Ile chupi ikaanguka mbele ya wote...

Teh teh teh...sasa vipi chupi ulitimka nayo ama uliiacha..??
 
sijambo kaka sungura1980....ibaada ilikua nzuri....halafu sisi hatupiti vichakani asee..hapo tushakwepa ngwala kama hizi

Duhhhh,moyo ushalipuka kwa BP!Nilikuwa najiandaa kuweka bango la kutafuta bodyguard wa jinsia ya ke akulinde dadangu mwallu,, hata Mentor simuamini,,lakini Mentor ngoja nimuamini!!
 
Last edited by a moderator:
Na kama alikuwa hataki huko kichakani usiku wa saa moja alifuata nini!!!!!!!!

Tiba

ni wale dizaini za nataka sitaki, kumbuka nilikuwa nshachoka na 'nitakupa kesho'
 

Sasa ulipiga vingapi mkuu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…