Ile chupi ikaanguka mbele ya wote...

Haha hadi raha....hiv mtoto akimbaka mtoto mwenzie kesi inakuwaje?if they are both under fifteen lets say
 
So bila shaka aliendelea kukutafuta umpe mautamu!
 
niliirudisha kwa mwenyewe akaikataa akasema nimekwenda kuiroga, niliivaa mpaka ikachakaa na yeye akawa wangu wa enzi hizo
Kwe kwe kwe kwe kwe kweeeeeeee....!!
mbavu zangu mieeee.....
duuuuhh weye kiboko
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
ahaha,wakati mdogo iliwahi kuonekana chupi ya kiume inayofanana na yangu ndani ya chumba cha jirani.ikawa noma sana kwangu mana mule kulikuwa na kabinti na wazaz wake walikuwa wana wasiwasi sana na mimi;(na walikuwa sahihi).ikawa kesi ya mahojiano marefu sana, hyo siku nikikumbuka nacheka.nilipona baada ya kuwaonesha pichu yangu tofauti na ile waliyoikuta ndani kwao.hadi leo sijui ile cost nyingine chafuchafu ilitoka wapi?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] labda ya mchawi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…