Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
UPUZI MTUPU.. Kwani watawala wengine waliuotangulia na aliyepo madarakani walifanya nini misikitini au makanisani mwao, kwani kipimo cha kufaa kuongoza nchi ni kwenye dini zao?Haya yote ndiyo yaliyopangwa na CHADEMA ili kupotosha umma wa watanzania. Viongozi wakuu wa nchi tangu uhuru hadi sasa wametoka chama tawala CCM na kwa hivyo yote yanayoonekana leo, zikiwemo shule walizosoma hao CDM ni matunda ya utawala wa chama hicho kilichoshika dola kwa ilani zao kongwe... ilani za vyama vingine ni changa.... kikubwa wananchi tujiulize je huyu DR. SLAA anayetaka kuongoza nchi hii alilifanyia nini kanisa katoriki kama si kuasi taratibu na sheria za utawa na kuachana nazo kwa tamaa za kimwili?????????????
Habari za kuaminika toka kwa mtu aliye karibu kabisa na Sekretarieti ya CHAMDEMA atoa siri kwamba , kumbe baada ya uchaguzi mkuu walikubaliana kile walichokiita ILANI BAADA YA UCHAGUZI ikiwa ni njia mojawapo ya kuwapotosha wananchi ili wawapigie kura mwaka 2015. Aidha kwa mujibu wa kada huyo wa CDM amesema walifikia uamuzi huo baada kufanya utafiti na kugundua kuwa wananchi wanaamini kila lisemwalo na viongozi wa Chama hilo hata kama halina ukweli ndani Ilani inasema:
1. kuendesha migomo na maandamano hata kama hakuna ulazima wa kufanya hivyo.
2. Kupotosha maendeleo yanayofanywa na serikali ikiwa ni pamoja na huduma za jamii, mfano ujenzi wa shule za kata na zahanati'
3. Kuwapaka matope Makada wa Chama tawala wanaoonekana kuwa wasafi kwa vile wanaweza kuwaletea kauzibe katika uchaguzi mkuu wa 4. 2015. Mfano Magufuli, Nape, Salim Ahamed Salim, Asha roze Migiro, Anne Makinda, Benard Membe na wengine wengi.
5. Kutumia muda mwingi kuvilaumu vyombo vya ulinzi hasa Jeshi la Polisi kwa maneno ya Kashfa kama vile POLISI WAMEUA, n,k
6. Kuwalipa vijana wenye utaalam na matumizi ya mfumo wa Kompyuta ili waweze kupost kwenye mitandao ya kijamii zikiwemo blogs mbalimbali maneno ya kashfa, uongo na uchochezi kwa viongozi ili Serikali ionekane kushindwa kufanyakazi.
7. Kuwatumia makada wa CCM wanaopinga ufisadi ili kufanya mashambulizi ya waziwazi kwa wale wanaotuhumiwa kwa ufisadi ili baadaye na wao waonekane hawafai.
8. Kuwahonda madiwani wa CCM ili kutoa Siri za vikao ndani ya CCM
9. Kupata taarifa za mapema juu ya miradi inayosimamiwa na Serikali kama vile barabara, shule, visima na kufanya mikutano ya hadahara katika maeneo husika na kuwaeleza wananchi kuwa wao ndiyo wamebuni miradi hiyo
10' Kutumia taasisi zisizo za kiserikali kupitia wahisani wa nje kuendesha propaganda kwamba Tanzania haiheshimu haki za binadamu.
11. Kuandaa midahalo mbalimbali ambayo itaendeshwa na makada wa CMD kupitia mgongo wa taasisi na kuwaalika watu wengi wakiwa ni wanazuoni wanaokiunga mkono CDM N.K
Tutafakari hili Jamani. Mimi binafsi nimeanza kuona utekelezaji wa baadhi ya haya kama vile kuwapaka matope wale wasafi ndani ta ccm,mfano ni hiili MAFISADI WAMTEGA MAGUFULI, uPOTOSHAJI wa maendeleo yanayofanywa na Serikali. Unaweza kuongezea 12,13,....

mata.ko ww!Habari za kuaminika toka kwa mtu aliye karibu kabisa na Sekretarieti ya CHAMDEMA atoa siri kwamba , kumbe baada ya uchaguzi mkuu walikubaliana kile walichokiita ILANI BAADA YA UCHAGUZI ikiwa ni njia mojawapo ya kuwapotosha wananchi ili wawapigie kura mwaka 2015. Aidha kwa mujibu wa kada huyo wa CDM amesema walifikia uamuzi huo baada kufanya utafiti na kugundua kuwa wananchi wanaamini kila lisemwalo na viongozi wa Chama hilo hata kama halina ukweli ndani Ilani inasema:
1. kuendesha migomo na maandamano hata kama hakuna ulazima wa kufanya hivyo.
2. Kupotosha maendeleo yanayofanywa na serikali ikiwa ni pamoja na huduma za jamii, mfano ujenzi wa shule za kata na zahanati'
3. Kuwapaka matope Makada wa Chama tawala wanaoonekana kuwa wasafi kwa vile wanaweza kuwaletea kauzibe katika uchaguzi mkuu wa 4. 2015. Mfano Magufuli, Nape, Salim Ahamed Salim, Asha roze Migiro, Anne Makinda, Benard Membe na wengine wengi.
5. Kutumia muda mwingi kuvilaumu vyombo vya ulinzi hasa Jeshi la Polisi kwa maneno ya Kashfa kama vile POLISI WAMEUA, n,k
6. Kuwalipa vijana wenye utaalam na matumizi ya mfumo wa Kompyuta ili waweze kupost kwenye mitandao ya kijamii zikiwemo blogs mbalimbali maneno ya kashfa, uongo na uchochezi kwa viongozi ili Serikali ionekane kushindwa kufanyakazi.
7. Kuwatumia makada wa CCM wanaopinga ufisadi ili kufanya mashambulizi ya waziwazi kwa wale wanaotuhumiwa kwa ufisadi ili baadaye na wao waonekane hawafai.
8. Kuwahonda madiwani wa CCM ili kutoa Siri za vikao ndani ya CCM
9. Kupata taarifa za mapema juu ya miradi inayosimamiwa na Serikali kama vile barabara, shule, visima na kufanya mikutano ya hadahara katika maeneo husika na kuwaeleza wananchi kuwa wao ndiyo wamebuni miradi hiyo
10' Kutumia taasisi zisizo za kiserikali kupitia wahisani wa nje kuendesha propaganda kwamba Tanzania haiheshimu haki za binadamu.
11. Kuandaa midahalo mbalimbali ambayo itaendeshwa na makada wa CMD kupitia mgongo wa taasisi na kuwaalika watu wengi wakiwa ni wanazuoni wanaokiunga mkono CDM N.K
Tutafakari hili Jamani. Mimi binafsi nimeanza kuona utekelezaji wa baadhi ya haya kama vile kuwapaka matope wale wasafi ndani ta ccm,mfano ni hiili MAFISADI WAMTEGA MAGUFULI, uPOTOSHAJI wa maendeleo yanayofanywa na Serikali. Unaweza kuongezea 12,13,....
Taarifa hii imejaa harufu ya kuzimu iliyosheheni ujumbe wa Ibilisi! Ama kweli mafisadi mna kazi!
Unalipwa shilingi ngapi leo?