Ilani ya chadema baada ya uchaguzi mkuu

Habari za kuaminika toka kwa mtu aliye karibu kabisa na Sekretarieti ya CHAMDEMA atoa siri kwamba , kumbe baada ya uchaguzi mkuu walikubaliana kile walichokiita ILANI BAADA YA UCHAGUZI ikiwa ni njia mojawapo ya kuwapotosha wananchi ili wawapigie kura mwaka 2015. Aidha kwa mujibu wa kada huyo wa CDM amesema walifikia uamuzi huo baada kufanya utafiti na kugundua kuwa wananchi wanaamini kila lisemwalo na viongozi wa Chama hilo hata kama halina ukweli ndani Ilani inasema:

1. kuendesha migomo na maandamano hata kama hakuna ulazima wa kufanya hivyo.
2. Kupotosha maendeleo yanayofanywa na serikali ikiwa ni pamoja na huduma za jamii, mfano ujenzi wa shule za kata na zahanati'
3. Kuwapaka matope Makada wa Chama tawala wanaoonekana kuwa wasafi kwa vile wanaweza kuwaletea kauzibe katika uchaguzi mkuu wa 4. 2015. Mfano Magufuli, Nape, Salim Ahamed Salim, Asha roze Migiro, Anne Makinda, Benard Membe na wengine wengi.
5. Kutumia muda mwingi kuvilaumu vyombo vya ulinzi hasa Jeshi la Polisi kwa maneno ya Kashfa kama vile POLISI WAMEUA, n,k
6. Kuwalipa vijana wenye utaalam na matumizi ya mfumo wa Kompyuta ili waweze kupost kwenye mitandao ya kijamii zikiwemo blogs mbalimbali maneno ya kashfa, uongo na uchochezi kwa viongozi ili Serikali ionekane kushindwa kufanyakazi.
7. Kuwatumia makada wa CCM wanaopinga ufisadi ili kufanya mashambulizi ya waziwazi kwa wale wanaotuhumiwa kwa ufisadi ili baadaye na wao waonekane hawafai.
8. Kuwahonda madiwani wa CCM ili kutoa Siri za vikao ndani ya CCM
9. Kupata taarifa za mapema juu ya miradi inayosimamiwa na Serikali kama vile barabara, shule, visima na kufanya mikutano ya hadahara katika maeneo husika na kuwaeleza wananchi kuwa wao ndiyo wamebuni miradi hiyo
10' Kutumia taasisi zisizo za kiserikali kupitia wahisani wa nje kuendesha propaganda kwamba Tanzania haiheshimu haki za binadamu.
11. Kuandaa midahalo mbalimbali ambayo itaendeshwa na makada wa CMD kupitia mgongo wa taasisi na kuwaalika watu wengi wakiwa ni wanazuoni wanaokiunga mkono CDM N.K

Tutafakari hili Jamani. Mimi binafsi nimeanza kuona utekelezaji wa baadhi ya haya kama vile kuwapaka matope wale wasafi ndani ta ccm,mfano ni hiili MAFISADI WAMTEGA MAGUFULI, uPOTOSHAJI wa maendeleo yanayofanywa na Serikali. Unaweza kuongezea 12,13,....



wewe nakufananisha na KONDOMU.
abda nikuulize unaijua thamani ya KONDOMU baada ya kutumiwa.
sina uhakika kama una jibu sahihi kwa kuwa wewe una mtindio wa ubongo
na pia kabla hujakubali kutumwa chukua ujumbe mpe mtu mwenye akili zake
akukagulie kwanza mjiridhishe kuwa watanzania wanaweza kudanganyika kwa hilo!?
na je hio posho yako inaweza kuwasaidia hadi ndugu zako wa vjijini?
haya bana endelea kutumiwa!!
 
kurogwa ni kurogwa tu, VGL hana jipyya kala hela ya Ridhiwani, mwambieni msure nchi inangamia na siyo CDM, pumbafu nyinyi, mga mmeongeza, mafuta mmekunywa, maji mmekausha, nani atawaelewa nyinyi, mmetukosea adabu waTZ, pigeni goti mtubu au mfanyiwe maombi
 
Back
Top Bottom