Ilani ya chadema baada ya uchaguzi mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ilani ya chadema baada ya uchaguzi mkuu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Oct 29, 2011.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Habari za kuaminika toka kwa mtu aliye karibu kabisa na Sekretarieti ya CHAMDEMA atoa siri kwamba , kumbe baada ya uchaguzi mkuu walikubaliana kile walichokiita ILANI BAADA YA UCHAGUZI ikiwa ni njia mojawapo ya kuwapotosha wananchi ili wawapigie kura mwaka 2015. Aidha kwa mujibu wa kada huyo wa CDM amesema walifikia uamuzi huo baada kufanya utafiti na kugundua kuwa wananchi wanaamini kila lisemwalo na viongozi wa Chama hilo hata kama halina ukweli ndani Ilani inasema:

  1. kuendesha migomo na maandamano hata kama hakuna ulazima wa kufanya hivyo.
  2. Kupotosha maendeleo yanayofanywa na serikali ikiwa ni pamoja na huduma za jamii, mfano ujenzi wa shule za kata na zahanati'
  3. Kuwapaka matope Makada wa Chama tawala wanaoonekana kuwa wasafi kwa vile wanaweza kuwaletea kauzibe katika uchaguzi mkuu wa 4. 2015. Mfano Magufuli, Nape, Salim Ahamed Salim, Asha roze Migiro, Anne Makinda, Benard Membe na wengine wengi.
  5. Kutumia muda mwingi kuvilaumu vyombo vya ulinzi hasa Jeshi la Polisi kwa maneno ya Kashfa kama vile POLISI WAMEUA, n,k
  6. Kuwalipa vijana wenye utaalam na matumizi ya mfumo wa Kompyuta ili waweze kupost kwenye mitandao ya kijamii zikiwemo blogs mbalimbali maneno ya kashfa, uongo na uchochezi kwa viongozi ili Serikali ionekane kushindwa kufanyakazi.
  7. Kuwatumia makada wa CCM wanaopinga ufisadi ili kufanya mashambulizi ya waziwazi kwa wale wanaotuhumiwa kwa ufisadi ili baadaye na wao waonekane hawafai.
  8. Kuwahonda madiwani wa CCM ili kutoa Siri za vikao ndani ya CCM
  9. Kupata taarifa za mapema juu ya miradi inayosimamiwa na Serikali kama vile barabara, shule, visima na kufanya mikutano ya hadahara katika maeneo husika na kuwaeleza wananchi kuwa wao ndiyo wamebuni miradi hiyo
  10' Kutumia taasisi zisizo za kiserikali kupitia wahisani wa nje kuendesha propaganda kwamba Tanzania haiheshimu haki za binadamu.
  11. Kuandaa midahalo mbalimbali ambayo itaendeshwa na makada wa CMD kupitia mgongo wa taasisi na kuwaalika watu wengi wakiwa ni wanazuoni wanaokiunga mkono CDM N.K

  Tutafakari hili Jamani. Mimi binafsi nimeanza kuona utekelezaji wa baadhi ya haya kama vile kuwapaka matope wale wasafi ndani ta ccm,mfano ni hiili MAFISADI WAMTEGA MAGUFULI, uPOTOSHAJI wa maendeleo yanayofanywa na Serikali. Unaweza kuongezea 12,13,....
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Na wewe umetumwa?
   
 3. R

  RMA JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa hii imejaa harufu ya kuzimu iliyosheheni ujumbe wa Ibilisi! Ama kweli mafisadi mna kazi!

  Unalipwa shilingi ngapi leo?
   
 4. Kadu

  Kadu Member

  #4
  Oct 29, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nonsense!Nenda kavuliwe gamba huko na Nape...foolish!
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Haya yote ndiyo yaliyopangwa na CHADEMA ili kupotosha umma wa watanzania. Viongozi wakuu wa nchi tangu uhuru hadi sasa wametoka chama tawala CCM na kwa hivyo yote yanayoonekana leo, zikiwemo shule walizosoma hao CDM ni matunda ya utawala wa chama hicho kilichoshika dola kwa ilani zao kongwe... ilani za vyama vingine ni changa.... kikubwa wananchi tujiulize je huyu DR. SLAA anayetaka kuongoza nchi hii alilifanyia nini kanisa katoriki kama si kuasi taratibu na sheria za utawa na kuachana nazo kwa tamaa za kimwili?????????????
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Ktk hii thread utegemee matusi kutoka kwa hawa mateka wa CDM, hakuna wanalojua zaidi ya matusi.
   
 7. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  UPUZI MTUPU.. Kwani watawala wengine waliuotangulia na aliyepo madarakani walifanya nini misikitini au makanisani mwao, kwani kipimo cha kufaa kuongoza nchi ni kwenye dini zao?

  Mikakati yote iliyoainishwa hapo ni ya kubuni mf. kuendesha maandamano na migomo isiyo ya lazima (hebu weka mfano), kupotosha maendeleo yanayofanywa na serikali..!!! wananchi sasa sio wa kuburuzwa kama kuna maendeleo ccm imefanya wananchi hawatahitaji mtu wa kuwaeleza bali yataonekana kwa macho.. hebu angalia uchumi unavyoporomoka kwa kasi na sarafu yetu kukosa nguvu, hizi utaziita ni mbinu za cdm au?
   
 8. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It seems chadema ni vichwa basi kama yote haya wanayaweza wanafaa kuchukua nchi sijaona baya hata moja kwa wanasiasa lazima wawe na mkakatizm niseme tu mwandishi kaongeza chumvi ila ukweli ni kuwa kizuri chajiuza kibaya chajitembeza; so ccm wanajipaka matope wenyewe wala hawahitaji kupakwa
   
 9. CHIETH

  CHIETH Senior Member

  #9
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba nikuulize wewe kada, hivi polisi hawajaua tarime na arusha?
  Hivi cCM haiwalipi vijana kufanya hayo.
  Kama ni propaganda CCM inaongoza, CMD haiwezi propaganda bado.
  Take your time acha CMD wajiandae na uchaguzi 2015.
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  CCM, take note, Hawa CHADEMA ni kma AL-SAHAABAB, siku zote wanataka kuangusha jitihada zenu pamoja na Serikali mnayoiongoza. Kumbe watu wamewashtukia. Hata mimi nilikuwa nashangaa MAGUFULI anavyoweza kutegwa na mafisadi. Kumbe ilikuwa ni hila za CDM kumchafua? Loh, Na washindwe na propaganda zao zilizojaa hasira za UCHAGA na UMASAI
   
 11. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Sugu1 umeambulia aibu tupu, kumsafisha mtu mchafu lazima uwe na kazi ya ziada,CCM haisafishiki hata kama utaiogesha baharini utacho ambulia ni kuchafua maji tu na kubakia na ccm chafu.
   
 12. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Ilani si huwa inawekwa kwenye documents? Ilani inakuwa ya kufikirika/kusadikika? kama hayo ni ya kweli, ungehesabika kuwa shushu wa CCM kwa kuweka link iliyosainiwa na viongozi wa CDM kuwa hayo uliyoeleza ni ILANI YAO, siyo unakuja na maneno ya kusadikika tu. Tumia ubongo wako vizuri
   
 13. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Huyu jamaa vipi? Umekuwaje tena, huwa naheshimu sana mabandiko yako umekuwaje tena?
   
 14. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #14
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,563
  Likes Received: 3,859
  Trophy Points: 280
  he he he!!taratibu jamani hii haiwezi ikawa ilani , labda mission za kipropaganda ambazo kwenye siasa ni ruksa....unless mtu hajui siasa na wanasiasa! wawe ccm wawe chademampango wa wanasiasani kuchukua uongozi wa kwa gharama zozote!!! ndio maana mnatakiwa kufikiri sana nasio kufuata mikumbo
   
 15. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Endelea kubuni na kuendeleza ujinga wako humu,inapoteza tu muda huku thamani ya shilingi yako ya Tanzania inazidi kushuka kila paitwapo leo.Athari zake sote tunaziona na waathirika wakuu ni Watanzania Wa hali ya chini ambao ni wengi.Hebu acha kupoteza muda let's wake up men tuache porojo zisizo na tija.
   
 16. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  CDM sera zao ni fujo.
  Kila mtu anajua haya.
  Ndio maana watanzania hawataki kuwasikia.
  OTIS
   
 17. Mwanahakij

  Mwanahakij Senior Member

  #17
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ungeongeza kuwa cdm pia wamesababisa mgao wa umeme na kupanda kwa garama za maisha zinazowatesa watanzania sasa, ili tukuelewe sawasawa!
   
 18. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #18
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  mata.ko ww!
   
 19. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hasa habari yenyewe inapokuwa inaihusu Chadema! Mkuki kwa nguruwe?
   
 20. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  asante sana kutufungua macho na propaganda hizi
   
Loading...