Kesho mzee wa watu atakuwa kwenye wakati mgumu sana. Sijui atateteaje ilani yake
Mamii nakusabahi, nilitoweka kidogo, mama mzima lakini?
Kesho mzee wa watu atakuwa kwenye wakati mgumu sana. Sijui atateteaje ilani yake
ILANI ZA CCM
Mwaka 1980 hadi 1995 kuondoa Umasikini
Mwaka 1995 Kuondoa umasikini
Mwaka 2000 Kuondoa Umasikini
Mwaka 2005 Kuondoa Umasikini
Mwaka 2010 Kuondoa Umasikini
Mwaka 2015 Kuondoa Umasikini
Eti bado wanajidai wana uwezo... TandaleOne are u guys sane?
Viwanda nani Ameviua? Sio serikali ya CCM?
Umasikini ni janga la kidunia na sio Tanzania pekee ndio maana Magufuli ameahidi katika hiyo sekta ya viwanda ambayo inatengeneza ajira nyingi itaiwekea kipaumbele katika kukuza na kuanzisha viwanda vidogovidogo,vya kati na vikubwa,kwa kuanzishwa tu viwanda hivi tayar itakua imepunguza tatizo la ajira kwa watanzania wengi na pia maisha ya watanzanaia yatapungua gharama kwa maana ya kwamba bidhaa nyingi zitatoka hapahapa hapa kwetu na hazitakua na kodi kubwa.
Pia ameahidi kuwachukulia hatua kali wale wote waliopewa adham ya kuviendesha viwanda hivo na kusababisha kuvidumaza.Embu ngoja tumpe kura maana hao wengine naona kama wanatuchezea tu akili yetu kazi yao ni kutembea kwenye masoko na kupanda daladala ila sera yao hakuna na pili huyu huyu anaegombea kwa upande wa pili mbona alikua kwenye serikali ya ccm kwa miaka 30 na hajafanya chochote iweje leo miaka 5 aibadilishe nchi big NO
Katika siasa za siku za nyuma kidogo, muonekano wa Mgombea (haiba) na hata Utanashati vilikuwa ni vigezo vinavyozingatiwa zaidi katika kupata Kiongozi...ilikuwa ni hivyo.
Kipindi hiko, Kulala kwenye matanga, kupanda baiskeli na kuvuta nyavu na kujaza watu kwenye mikutano ilikuwa ndio mlango wa kuingilia kwenye uongozi, watu waliridhika na neno MWENZETU bila kuangalia UWEZO, UMAKINI na UADILIFU wake.
SIASA za SASA zimebadilika, Watanzania wanauelewa zaidi, wanafikiri zaidi, na wanaelewa zaidi. Wanachagua viongozi wao kwa VIGEZO halisi vya kupata Kiongozi na sio Vigezo vya kimazingira. Watanzania wanajua na kufahamu kuwa SIFA KUU ya KWANZA ya KIONGOZI ni UADILIFU.
Watanzania wanataka KIONGOZI ambae hawana shaka nae juu ya UADILIFU wake, UWEZO wake, UWAJIBIKAJI wake na HURUMA yake kwa Watanzania wenzake. Watanzania wamechoshwa na UMASIKINI, wanataka mtu wa kuwaondolea UMASIKINI, na vivyo hivyo watanzania wamechoshwa na RUSHWA, wanataka KIONGOZI wa kukomesha UFISADI.
Siasa za MAIGIZO, za kupanda daladala, kubeba magunia Tandale, Kulala wodi ya Wagonjwa mahututi, Utanashati na Tabasamu zuri zimeshawakinai Watanzania. Wanataka maudhui, wanataka kusikia ILANI, wanataka kujua Kiongozi wanayetaka Kumchagua ana UADILIFU kiasi gani, UFAHAMU kiasi gani wa ILANI yake na UWEZO kiasi gani wa kutekeleza ILANI yake.
ILANI ndio mafungamano na mkataba rasmi baina ya Wananchi na Kiongozi wanayemchagua pamoja na Chama Chake. Ndio Muongozo wa kupima mafanikio ama kushindwa kwa Kiongozi ama Chama chake kwa kupima kiasi cha utekelezaji wa yale waliyoyaahidi na kuyataja kwenye Ilani yao.
CCM imejipambanua wazi kuwa Kipaumbele cha Ilani yake ni MAJI, AFYA na ELIMU lakini wamejipambanua wazi kuwa Wanataka kuigeuza TANZANIA kuwa Nchi ya VIWANDA ili kupamba na Ukosefu wa Ajira, Uchumi duni na tegemezi, CCM imeeleza bayana kuwa INACHUKIA RUSHWA na kwamba watafungua Mahakama Maalum za kudshughulikia MAJIZI, MAFISADI na WALA RUSHWA. n.k.
UKAWA zamu yenu sasa, mtuambie baada ya kufanya Mbwembwe za kupanda BAJAJ na BODABODA na kubeba MAGUNIA tandale, mmepanga kuwafanyia nini watanzania..? Hilo ndilo jambo la Msingi.
Wewe komaa na chama chako kilichofisadi nchi yetu, muonee huruma Magufuli

Tuliaaa kesho si mbali
jana Lowasa kaongea dk saba tu hoi sijui kesho ataongea ngapi.
Si usubiri kesho? Mambo yote yatakuwa hadharani.
Vipaumbele vya uhakika, mipango na mikakati ya ukweli vyote utavisikia hiyo kesho.
UKAWA wamejiandaa kuichukua nchi, hivyo sitegemei kama watatukana matusi na kejeli kwa Watanzania kama wenzao wiki iliyopita walivyoboronga.
kesho ndio nini ukawa hawana jipya la kutuambia watanzania na hatutaki mcheze na akili zetu militulaghai kwa maneno na kutuaminisha lowasa ni fisadi tena hafai kwenye taifa, leo hii mnataka kutuaminisha kwa siku moja eti msafi acheni upumbavu
tumeshtuka na tumeamua kuipa 100% ccm
na magufuli ndio rais wetu
Eti wamesema ataongea hotuba ya saa moja na nusu, mimi nadhani atatetemeka kwa muda wa saa moja na nusu,
mimi naomba kesho ndg el asimame jukwaani peke yake bila body guards, na asisome alichoandikiwa atumie ubongo wake kutema sera sio kusoma soma tena kwa kutetemeka
Thread ingesomeka: Marudio ya Ilani za CCM tumeiona, bado Ilani mpya kutoka UKAWA!
Ni marudio kwa sababu ahadi ni zilezile za Mtangulizi wake anaemaliza muda wake! Hakuna jipya!