Ilani ya CCM tumeisikia, UKAWA tuambieni vipaumbele vyenu

Sina muda na ilani.miaka yote tumeisikia sasa kazi ni moja kuing'oa CCM
 
ILANI ZA CCM

Mwaka 1980 hadi 1995 kuondoa Umasikini
Mwaka 1995 Kuondoa umasikini
Mwaka 2000 Kuondoa Umasikini
Mwaka 2005 Kuondoa Umasikini
Mwaka 2010 Kuondoa Umasikini
Mwaka 2015 Kuondoa Umasikini

Eti bado wanajidai wana uwezo... TandaleOne are u guys sane?

Viwanda nani Ameviua? Sio serikali ya CCM?

Umasikini ni janga la kidunia na sio Tanzania pekee ndio maana Magufuli ameahidi katika hiyo sekta ya viwanda ambayo inatengeneza ajira nyingi itaiwekea kipaumbele katika kukuza na kuanzisha viwanda vidogovidogo,vya kati na vikubwa,kwa kuanzishwa tu viwanda hivi tayar itakua imepunguza tatizo la ajira kwa watanzania wengi na pia maisha ya watanzanaia yatapungua gharama kwa maana ya kwamba bidhaa nyingi zitatoka hapahapa hapa kwetu na hazitakua na kodi kubwa.
Pia ameahidi kuwachukulia hatua kali wale wote waliopewa adham ya kuviendesha viwanda hivo na kusababisha kuvidumaza.Embu ngoja tumpe kura maana hao wengine naona kama wanatuchezea tu akili yetu kazi yao ni kutembea kwenye masoko na kupanda daladala ila sera yao hakuna na pili huyu huyu anaegombea kwa upande wa pili mbona alikua kwenye serikali ya ccm kwa miaka 30 na hajafanya chochote iweje leo miaka 5 aibadilishe nchi big NO
 
Yaaani unaongea Uongooooo ukidhani hapa JF kuna wajinga

Yaani mismanagement ya Uchumi wa nchi iliyofanywa na CCM una justfy kwa kusema ni janga la dunia.....Do u mean duniani nchi zote ni maskini?

Do you have any idea on how resource rich is...Our Country?

Aliyewapa hivyo viwanda ni nani?

Aliyesindwa kusimamia ni nani?

Lowasa Is Visionary.....He is A Team Player...Anajua kupanga team..He Is Leader

CCM haina uwezo tena wa kuongoza nchi

Utakuwa kichaa kama unadhani serikali ya CCM chini ya magufli or whoever else inaweza kureview mikataba ya wizi y Gesi yetu
 
Katika siasa za siku za nyuma kidogo, muonekano wa Mgombea (haiba) na hata Utanashati vilikuwa ni vigezo vinavyozingatiwa zaidi katika kupata Kiongozi...ilikuwa ni hivyo.

Kipindi hiko, Kulala kwenye matanga, kupanda baiskeli na kuvuta nyavu na kujaza watu kwenye mikutano ilikuwa ndio mlango wa kuingilia kwenye uongozi, watu waliridhika na neno MWENZETU bila kuangalia UWEZO, UMAKINI na UADILIFU wake.

SIASA za SASA zimebadilika, Watanzania wanauelewa zaidi, wanafikiri zaidi, na wanaelewa zaidi. Wanachagua viongozi wao kwa VIGEZO halisi vya kupata Kiongozi na sio Vigezo vya kimazingira. Watanzania wanajua na kufahamu kuwa SIFA KUU ya KWANZA ya KIONGOZI ni UADILIFU.

Watanzania wanataka KIONGOZI ambae hawana shaka nae juu ya UADILIFU wake, UWEZO wake, UWAJIBIKAJI wake na HURUMA yake kwa Watanzania wenzake. Watanzania wamechoshwa na UMASIKINI, wanataka mtu wa kuwaondolea UMASIKINI, na vivyo hivyo watanzania wamechoshwa na RUSHWA, wanataka KIONGOZI wa kukomesha UFISADI.

Siasa za MAIGIZO, za kupanda daladala, kubeba magunia Tandale, Kulala wodi ya Wagonjwa mahututi, Utanashati na Tabasamu zuri zimeshawakinai Watanzania. Wanataka maudhui, wanataka kusikia ILANI, wanataka kujua Kiongozi wanayetaka Kumchagua ana UADILIFU kiasi gani, UFAHAMU kiasi gani wa ILANI yake na UWEZO kiasi gani wa kutekeleza ILANI yake.

ILANI ndio mafungamano na mkataba rasmi baina ya Wananchi na Kiongozi wanayemchagua pamoja na Chama Chake. Ndio Muongozo wa kupima mafanikio ama kushindwa kwa Kiongozi ama Chama chake kwa kupima kiasi cha utekelezaji wa yale waliyoyaahidi na kuyataja kwenye Ilani yao.

CCM imejipambanua wazi kuwa Kipaumbele cha Ilani yake ni MAJI, AFYA na ELIMU lakini wamejipambanua wazi kuwa Wanataka kuigeuza TANZANIA kuwa Nchi ya VIWANDA ili kupamba na Ukosefu wa Ajira, Uchumi duni na tegemezi, CCM imeeleza bayana kuwa INACHUKIA RUSHWA na kwamba watafungua Mahakama Maalum za kudshughulikia MAJIZI, MAFISADI na WALA RUSHWA. n.k.

UKAWA zamu yenu sasa, mtuambie baada ya kufanya Mbwembwe za kupanda BAJAJ na BODABODA na kubeba MAGUNIA tandale, mmepanga kuwafanyia nini watanzania..? Hilo ndilo jambo la Msingi.

Thread ingesomeka: Marudio ya Ilani za CCM tumeiona, bado Ilani mpya kutoka UKAWA!

Ni marudio kwa sababu ahadi ni zilezile za Mtangulizi wake anaemaliza muda wake! Hakuna jipya!
 
Umenena baba ahsante
 
Tuliaaa kesho si mbali

kesho ndio nini ukawa hawana jipya la kutuambia watanzania na hatutaki mcheze na akili zetu militulaghai kwa maneno na kutuaminisha lowasa ni fisadi tena hafai kwenye taifa, leo hii mnataka kutuaminisha kwa siku moja eti msafi acheni upumbavu
tumeshtuka na tumeamua kuipa 100% CCM
Na magufuli ndio rais wetu
 
jana Lowasa kaongea dk saba tu hoi sijui kesho ataongea ngapi.

Eti wamesema ataongea hotuba ya saa moja na nusu, mimi nadhani atatetemeka kwa muda wa saa moja na nusu,
 
Si usubiri kesho? Mambo yote yatakuwa hadharani.
Vipaumbele vya uhakika, mipango na mikakati ya ukweli vyote utavisikia hiyo kesho.
UKAWA wamejiandaa kuichukua nchi, hivyo sitegemei kama watatukana matusi na kejeli kwa Watanzania kama wenzao wiki iliyopita walivyoboronga.

Mimi naomba kesho Ndg EL asimame jukwaani peke yake bila body guards, na asisome alichoandikiwa atumie ubongo wake kutema sera sio kusoma soma tena kwa kutetemeka
 
kesho ndio nini ukawa hawana jipya la kutuambia watanzania na hatutaki mcheze na akili zetu militulaghai kwa maneno na kutuaminisha lowasa ni fisadi tena hafai kwenye taifa, leo hii mnataka kutuaminisha kwa siku moja eti msafi acheni upumbavu
tumeshtuka na tumeamua kuipa 100% ccm
na magufuli ndio rais wetu

harafu mbona unauwandishi wa kike ,ya nini sasa mipasho dume zima ovyoooo.

Haya mabwana zako washakusikia.
 
mimi naomba kesho ndg el asimame jukwaani peke yake bila body guards, na asisome alichoandikiwa atumie ubongo wake kutema sera sio kusoma soma tena kwa kutetemeka

kweli akili zako umezikali,ivi unataka maendeleo ili ndugu zako na wewe muishi maisha halali,au unataka uishi kama digidigi ilihali upo ndani ya chama cha kijani??

Tumia ubongo wako vizuri kijana.
 
Maneno mengi ya nn subiri matendo. Maisha bora kwa kila mtz yako wapi? Je, ukishatamka maisha bora kwa kila mtz kuna haja gan ya kusema utaboresha miundombinu, elimu au laptop kwa wanafunz au au walimu?
 
Thread ingesomeka: Marudio ya Ilani za CCM tumeiona, bado Ilani mpya kutoka UKAWA!

Ni marudio kwa sababu ahadi ni zilezile za Mtangulizi wake anaemaliza muda wake! Hakuna jipya!

Kama ilani hazitazingatia huduma za jamii,uchumi, miundombinu na maendeleo kwa ujumla,unataka zije ilani gani mpya. Najua UKAWA mnataka kuja na ilani ya kuvuruga amani na kuleta historia Tanzania ya kutupa rais mgonjwa na mwizi, hiyo ndio itakuwa mpya. Vinginevyo tunasubiri kuona kesho UKAWA mkiiba ilani za CCM
 
Back
Top Bottom