Ilani na sera za UKAWA

Ilani na sera za UKAWA

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
476
Vipao mbele vya ukaws ni hivi viguatavyo (1)Kuimarisha nishati ya umeme.Lengo ni kuhakikisha umeme wa uhakika usiokatika mwaka mzima.Ukikatwa uwe siku za ukarabati wa mitambo tu.Umeme wa uhakika utazalisha ajira kwa watu wengi,mafundi,saloon,wauza maduka na vyakula,ukuwaji wa viwanda,hotels,wafugaji wa kuku na shughuli zote zinazohitaji nishati ya uhakika. 2.Foleni Dar tutaimaliza kwa kuachana na ujenzi wa barabara.Tukiendelea nanujenzi wa barabara mika 20 ijayo Dar nzima itakuwa ni barabara.Sasa basi tutajenga reli nne ya kwanza ,Posta-Kariakoo-Kimara-Kibaha-Chalinze,ya pili mjini-mbagala-mkuranga,ya tatu Mjini-mbezi beach-Tegeta-Bagamoyo na nnee Mjini-Tazara-Uwanja wa ndege-Pugu-Kisarawe.Tutajenga bandari ya nchi kavu maeneo ya chalinze.Mizigo itatoka bandarini kwa treni hadi chalinze,malori yote yataishia chalinze isipokuwa mizingo ya Dar tu.Hatua hii itainua uchumi wa nchi kwa kasi. 3.Nimebanwa kidogo,nikipata muda nitaendelea kuzichapa hapa
 
sera za huakika sana na hilo ndio litakuwa suluhisho la foleni dar, hivyo ndivyo nchi za wenzetu walioendelea wanafanya. hogera sana
 
mpaka wamalize folen Dar, Arusha nako kutakuwa kumeanza msongamano. Dar ni kiini cha uchumi na msongamano unasababisha hasara kubwa kwa nchi. Lakn kwasabab Ukawa wako makini, waje na mipango endelevu na kwa maeneo mengine ambayo siku zinavyozid kwenda folen inaongezeka, yasije yakawa kama ya vituo vya polisi kuvamiwa et kwasabab walipitia dirishan mzibe madirisha mkaacha milango
 
Vipao mbele vya ukaws ni hivi viguatavyo (1)Kuimarisha nishati ya umeme.Lengo ni kuhakikisha umeme wa uhakika usiokatika mwaka mzima.Ukikatwa uwe siku za ukarabati wa mitambo tu.Umeme wa uhakika utazalisha ajira kwa watu wengi,mafundi,saloon,wauza maduka na vyakula,ukuwaji wa viwanda,hotels,wafugaji wa kuku na shughuli zote zinazohitaji nishati ya uhakika. 2.Foleni Dar tutaimaliza kwa kuachana na ujenzi wa barabara.Tukiendelea nanujenzi wa barabara mika 20 ijayo Dar nzima itakuwa ni barabara.Sasa basi tutajenga reli nne ya kwanza ,Posta-Kariakoo-Kimara-Kibaha-Chalinze,ya pili mjini-mbagala-mkuranga,ya tatu Mjini-mbezi beach-Tegeta-Bagamoyo na nnee Mjini-Tazara-Uwanja wa ndege-Pugu-Kisarawe.Tutajenga bandari ya nchi kavu maeneo ya chalinze.Mizigo itatoka bandarini kwa treni hadi chalinze,malori yote yataishia chalinze isipokuwa mizingo ya Dar tu.Hatua hii itainua uchumi wa nchi kwa kasi. 3.Nimebanwa kidogo,nikipata muda nitaendelea kuzichapa hapa

Thanks, ila edit na upangilie vizuri mkuu.
 
Fikra kama hizi ccm hawawezi kuwa Nazi!
 
Kule wanaweza tu kana tu na wameganda kila maa elimu maji.....
 
G.Man, uchumi uko kila mahali. Watu wamejaa Dar kwa sababu hakuna tena vile viwanda. Viwanda vikifunguliwa, mashamba ya katani yakafufuliwa, njia za treni zinafufufuliwa nk. Ajira itakuwa kedekede watu hawatakimbilia dar.
Maeneo mengi Tanzania yako tupu. Wawekezaji wanakuja kuchuna na kuondoka. watalazimishwa wawekeze kwenye maeneo ambayo yataajiri watanzania na pia mashule yatafundisha kujiajiri baada ya kumaliza masomo na siyo focus inakuwa kwenye kuajiriwa tu.

Omba Ukawa ushike nchi utayaona haya.
 
kwa ilani hii ni rahisi kuwapima kama watashindwa kutekeleza sio bla blaa za jana eti watajenga viwanda...vingapi, wapi, lini? tutaendelea kukagua migodi...kwani sasa hamfanyi na imetusaidia nini kama taifa? CCM TUPA KULEEEEEEEEEE
 
Back
Top Bottom