Ilani: Mbinu mpya ya wezi wa magari

Ilani: Mbinu mpya ya wezi wa magari

Hao dawa yao ni kuwapofusha macho....na kuwa weka vidonda ndugu!!! Unategesha spray kadhaa zenye mchanganyiko wa sumu ya "kifutu" ambayo inakuwa kwenye mgandamizo mkubwa. Pia kutumia sindano risasi zenye sumu ya kobra na mchanganyiko wa nyongo ya mamba!! Vyote hivi vinakuwa automated kwa kutumia sensor maaluum na mitambo mingine kadhaa ya bei nafuu.
 
Back
Top Bottom