Ilani Magorofani

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Wakazi wote wa magorofani wametakiwa kuachana na tabia hatarishi kama vile kurukaruka wakiwa juu, hii ni kutokana na ukweli kwamba mengi yamejengwa kwa kiwango hafifu na wakati wowote yanaweza kuporomoka
 
Hakika..
 
Sasa kama wewe AMAVUBI unaishi gorofa lilojenga chini ya kiwango unangoja nini si uhame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…