Ugaidi ufundishwe Tanzania tena ilala!!! Ja CIA wafundishe nini?Hatuleti watoto hapo mnawafundisha ugaidi mimi nimepeleka Lutengano ipo tukuyu mbeya wanaandaa watoto vyema kiroho na kitaaluma na si kigaidi na makaratee yenu
Wenzako wanaelewa. Jitathmini sio utafuniwe kila kituduh,mkuu uko normal kabsa kchwan mwako au umepga vitu havtakiw kw ubong.mbna uzi wako huu hauelewek? content na kchwa tofaut.afu sio kila kitu lazma utengnez thread vngne waweza potezea iyo itasaidia pia.
Shule IPO ilala mtaa Wa arusha. Ni ya wavulana na wasichana .Nafasi za masomo 2017.
Shule imetangaza kidato cha I na kuhamia vidato vingine II mpaka VI wanachukua.
MLETE MWANAO APATE MALEZI NA ELIMU BORA.
inawezekana ni kweli,ila sio kwa great thinkers kam wew....kwanza ulikimbia unakuja kujibu leo nahisi ni woga tu ama siku zote ulikuwa unafikiria uje ujibu nin.Wenzako wanaelewa. Jitathmini sio utafuniwe kila kitu
This is for greater thinker only. Free your mind. Think inside and outside the box. All angle
hahahaha....saw bhana.Thank you
Umeelewa.
Karibu
GOOD KAKA NAIKUBALI IYO SKULHatuleti watoto hapo mnawafundisha ugaidi mimi nimepeleka Lutengano ipo tukuyu mbeya wanaandaa watoto vyema kiroho na kitaaluma na si kigaidi na makaratee yenu