ILALA: DAWASCO yamkamata mkazi wa mchikichini, mwizi wa maji

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,563
21,665
DAWASCO imeendelea na operesheni maalum ya kukamata wezi wa maji ambapo limefanikiwa kukamata matenki 9 yanayomilikiwa na Bwana Bonifas Mungule aliyejitambulisha kuwa mfanyakazi wa Serikali.

Bwana huyo amekuwa akiwauzia maji hayo wizi wakazi wa Ilala mchikichini.

 
Nimeisikia hii kwenye taarifa ya habari ya usiku Huu.

Kuna mchaga mmoja alikua akimiliki tank 9 za Maji huku tanks hizo zikijazwa Maji kwa miundombinu ya aina yake , Maji hayo alikua akiyauza kwa wakazi wa eneo analoishi huko ilala.

Sasa Leo kavamiwa na afisha biashara wa Dawasco akiwa na askari , yeye hakua home time jamaa wanafika. Wakamcheki kwa simu, aisee alivyojitetea ni hatari,

" aisee Jana tuliongea vizuriiii halaf leoo umenletea askariii?
 
Ila kwa maongezi ya huyu Mangi na afisa biashara , yaonekana hawa wanatambuana vema na hua dili ni la wao wote, nadhani afisa biashara kaona kinakaribia kunuka ikambidi amgeuke mangi fasta.
 
Mchaga ametumwa pesa, kuliko kurudi uchagani bila pesa bora upotee porini au urudi maiti umefia uwanja wa mapambano utazikwa.
 
Huyo siyo mwizi huyo amejihami kutokana na adha ya maji jijini. Wanamuonea
 
Sawa kuiba maji ni kosa ila nilichukia sana kupitisha mabomba ya maji kwenye mitaro ya maji taka. hali hii inasababisha kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom