ema-ze-boy
Member
- Feb 13, 2017
- 47
- 47
Natokea manispaa ya Ubungo kata ya Makurumla mtaa wa Kwajongo
Tusaidieni kuufikisha kwenye mikono ya sheria mtandao ufuatao wa wizi wa maji ya DAWASCO.
1) Vijana wenzetu mtaani wenye mipira ya maji (Lola), pampu za kusukuma maji na matanki ya kulangulia maji.
2) Wafadhili wa hawa vijana wenye kuwamiliki (kwa mujibu wa maelezo yao ni watu wa serikali)
3) Viongozi wa serikali ya mtaa na kata wanaowalinda kwa kugawana nao faida ya kazi hiyo.
4) Maafisa wachache wa idara ya maji wanakuja badala ya kukamata maji ya matanki wao wameweka makubariano ya siri kuchukua kiasi fulani kila wanapokuja ki oparesheni za maji.
5) Kuna polisi wanaoshirikiana katika uharifu huu kwa mfano juzi walikuja mtaani kwetu kukamata tanki la maji waliokuwa kwenye maji wakasema kama mmekuja kukamata matanki njooni mkamate yote sio langu tu maana wiki mbili nyuma walimjia akawapa laki na nusu sasa hii juzi kakataa akawapeleka kwenye matank mengine nako wakamate ambapo huko washapewa hela wakaacha kukamata lakini walipoonyeshwa pampu wakazibeba hadi polisi. Baadae wahusika wa mashine wakaja kulipa hongo polisi wale watu navyokwambia wanaendelea, mchezo huu wote viongozi wetu wanawaona wanakula nao jamani tufanyeje kumaliza kero hizi.
Wapo Maafisa wa DAWASCO wanaowapa koki vijana hawa wafunge maji ili wapige hela wao. Maji ya mwendokasi yanatoka kwa zamu wakati wezi hawani wanapata maji kwa wizi. Siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.
Comredi Emma Ze boy
Mwanaharakati
19 feb 2017