Ilaaniwe Serikali ya CCM viongozi wake

una maumivuuu ......kilio cha samaki machozi yamekwenda na majiii........hahaaa . dua la kuku halimpati mweweee
 
AAAAAAAAAAAAAAAAAAAAMEN
 
Na iwe hivyo milele na milele, Amina.
 
Fao la Kujitoa NSSF huo ni ukatili kiwango cha juu cha Ushetani....
 
acha makasiriko kijana,,,,,,,,penda nchi yako
Sijailaani Tanzania,,. [emoji24]. Nawalaani CCM narudia walaaniwe kwa kutojali , walaaniwe daima, walaaniwe ,milele wao mpaka vizazi vyao
.
Walaaniwe kwa damu za wagonjwa wote wanaokufa kwa kukosa hela za matibabu walaaniwe kwa damu za wote wanaojinyonga kutokana na ugumu wa maisha wanaoudumisha walaaniwe

Ilaniwe serikali ya CCM kwa jasho na machozi ya wafanyabiashara wadogo na wote wanaopata shida ambazo serikali imepuuza na ipo bize na mambo yasio okoa uchumi wa watu , walaaniwe.

Walaaniwe wabunge wanaokula mshahara wa bure wakicheka na kula starehe huku wananchi wao tunalia kwa njaa, wakijadili mambo ya hovyo wakiacha kujadili namna na njia za kutukomboa wananchi kiuchumi wakifurahia unyonge wetu na kuudumisha Daima natamka walaaniwe , ilaaniwe serikali hii ilaaniwe ilaaniwe Ccm na viongozi wake walaaniwe milele wao na matumbo yao
Wao na vizazi vyao, machozi ya wanyonge yajae kwenye vizazi vyao , walie kesho na
Milele

Walaaniwe
 
Hii laana iwapate na iambatane na albadir ...hasa yule alosema hakuna crane ya kubeba yale mazagazaga
 
Mkuu walaaniwe mafa ngapi?
 
Ukisikia dua za kuku ndio kama hizi ,mkiambiwa muingie barabarani kudai Tume huru na Katiba mpya mnaingia mitini,sasa wacheni tule nchi kwa raha zetu ,tumeshawashtukia mna makelele mengi tu ,ya wahabesh hamyawezi.
 
Tupiganie katiba mpya na kuundoa utawala wa ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…