KING ASSENGA
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 929
- 1,500
Naomba watu wore wenyewe mapenzi mema tuseme AMEN.Narudia tena Mlaaniwe CCM na serikali yenu mlaaniwe kwa kuufuga umaskini shida na taabu mulaaniwe kwa jasho letu mnalojilipa mlaaniwe na ardhi yetu mnayoikanyaga. Mlaaniwe na vizazi vyenu vyote,. Mlaaniwe milele
Amen kaka tunapitia Magumu sana katka nchi yetu Hii ila ipo sku Mungu atatutendea tuuWakati wameshindwa kutuajiri, bado hata tulipojiajiri wanafuata na kutuwekea vikwazo vya kutosha, walaaniwe kwa matozo, makodi ya kila aina, walaaniwe
Wakati vijana tunaona fursa nje ya nchi wao wanatuwekea vikwazo kutoka passport masharti lukuki na garama juu pamoja na ucheleweshaji, mnataka tufie njaa humu ndani? Mlaaniwe.
Narudia tena Mlaaniwe CCM na serikali yenu mlaaniwe kwa kuufuga umaskini shida na taabu mulaaniwe kwa jasho letu mnalojilipa mlaaniwe na ardhi yetu mnayoikanyaga. Mlaaniwe na vizazi vyenu vyote,. Mlaaniwe milele [emoji24][emoji24][emoji24]
AMENNaomba watu wore wenyewe mapenzi mema tuseme AMEN.
Siasa iko wapi hapo? MTU anataabika wewe kifutu unafutuka useme siasaNi mateso yanayofikirisha kama hujachanganya siasa kwenye laana zako.
Ameen,kimsingi Tanzania ni nchi yetu sote lakini,viongozi wamejisahau Sana ,wanawaona Wanzania ni bongo lala kana Kwamba Hamna kitu kichwani .Ni nchi yetu sote lakini mbeleni tutapitia wakati mgumu Sana hata tunayoyasikia Ethiopia,na mataifa mengine ni cha Mtoto Kwa Tanzania Tutapigwa pigo Takatifu IL tujifunze . Kwa maana hii Sasa kila mmoja asali Kwa dini yake ili watawala wajue wanayopaswa kutendea watu .Wakati wameshindwa kutuajiri, bado hata tulipojiajiri wanafuata na kutuwekea vikwazo vya kutosha, walaaniwe kwa matozo, makodi ya kila aina, walaaniwe
Wakati vijana tunaona fursa nje ya nchi wao wanatuwekea vikwazo kutoka passport masharti lukuki na garama juu pamoja na ucheleweshaji, mnataka tufie njaa humu ndani? Mlaaniwe.
Narudia tena Mlaaniwe CCM na serikali yenu mlaaniwe kwa kuufuga umaskini shida na taabu mulaaniwe kwa jasho letu mnalojilipa mlaaniwe na ardhi yetu mnayoikanyaga. Mlaaniwe na vizazi vyenu vyote,. Mlaaniwe milele [emoji24][emoji24][emoji24]
CCM ni takataka haswaWakati wameshindwa kutuajiri, bado hata tulipojiajiri wanafuata na kutuwekea vikwazo vya kutosha, walaaniwe kwa matozo, makodi ya kila aina, walaaniwe
Wakati vijana tunaona fursa nje ya nchi wao wanatuwekea vikwazo kutoka passport masharti lukuki na garama juu pamoja na ucheleweshaji, mnataka tufie njaa humu ndani? Mlaaniwe.
Narudia tena Mlaaniwe CCM na serikali yenu mlaaniwe kwa kuufuga umaskini shida na taabu mulaaniwe kwa jasho letu mnalojilipa mlaaniwe na ardhi yetu mnayoikanyaga. Mlaaniwe na vizazi vyenu vyote,. Mlaaniwe milele [emoji24][emoji24][emoji24]
Wanakata kila sikuUmeme nao wamekata[emoji41]
Tukisma kuna matakataka yanasema hoo wanaolalamikia Makamba ni sukuma gangWanakata kila siku