Ila Waziri Kalemani hapa umefeli.....

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
1,881
Reaction score
3,661
Kwanza nikupongeze kwa juhudi za Wizara yako kusimamia umeme kuwafikia hadi watu wa chini. Kuna sehemu naona kama mmekosea. Hii nyumba hapa chini mliopeleka umeme kwa mfano mvua nyingi ikinyesha waya sikashika maji hamuoni kwamba usalama wa raia utakua hatarini. Juhudi ni nzuri lakini angalau tuzingatie na aina ya nyumba tunakopeleka umeme! Ni hayo tu!
 
CCM mbele kwa mbele, maendeleo hayana chama
 
Mkulu alitaka picha zionyeshe kuwa wanawajali wanyonge. Ni kweli picha zimekuwa viral world wide now they are a laughing stock 😀
 
wala sijaona haja ya kuzindua hapoo.. miaka 50 ya uhuru bado viongozi wanajivunia wananchi wao kuwa na nyumba za tembe??
True, nashangaa umeme ndio huo. It is dangerous - probably if there is any outage then the owners can sue the government. They actually do not need electricity. It is being forced on them as part of bongo development, phewwwwwwwwwwwwwww, mimi sielewi. Eti hiyo ndiyo rural electrification program.
 
Maji hayataleta madhara maana imepigwa FULL CONDUIT WIRING. Chenye madhara hapo ni endapo itatokea LOOSE CONNECTION.
 
Wawaunganishie na maji humo humo, au maji ni hatari kuliko umeme?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…