Ila wanawake ni "selective" mno!

Only mind? Muonekano vipi? Status?
Kama ingekua swala la muonekano, basi viwete, wafupi, wembamba, wanene, warefu, weupe, weusi wasinge oa.
Mkuu, hakuna mwanamke anaejielewa mwenye kuhofia muonekano sababu wanajiamini na anaweza kumfanya mwanaume aonekane kama anavyo taka yeye
 
Hao wadada walio so picky ni suala la muda tu

Miaka 30+ ndiye adui yako mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…