Pole sana siku nyingine ukihitaji niulize hata mimi ntakupa bila masharti
Ili kukujulisha kuwa wanaume wote sio sawa bali huyo ulienae pia ana tabia zake ngumu tu
10k mpaka akudai really
Sasa bado uko nae wa nini au anakudai na penzi lake kuwa ukimuacha atakudai
Kama ni hivyo ntakulipia pia