Wee una stress sio bure...kesho ngoja nikupeleke taifa ukapoze stress bill zote juu yangu mzabzabUnakuta mtu upo serious nae ajawai kukushirikisha anapitia nn anapitia hard tym gani baadae ukiombwa ela oh huoni napitia wakati uliwai niambia?π
Mtu unakaa nae for like 3yrs na kuendelea kanapata mimba unakuja et Sina malengo nae asa iyo miaka mlikua mnafanya mwenzio kaona mna malengo afu unazingua?ππΎ
Aya et nyie mna offer et pussy tu hamjawai kuongea constructive ideas na mpenzi wako mkikutana ni kulana tu kusema ukweli nikapata mtu atakua anataka malengo lazima ntakucheat niende kwake?π
Sio Kila single mama alipenda awe ivyo jaman msituchoshe mnakwaza!πΉπΉπ
Stay focused #2025 #2026#2027.
Kwani we ulijua wanaume ni malaika eti? Sisi ni binaadam kama wewe tu,hizo shida ulizonazo hata sisi tunazo, kaza mtoto wa kike si tumekubaliana kuwa ni 50/50, pambana upate Hela sasa.Unakuta mtu upo serious nae ajawai kukushirikisha anapitia nn anapitia hard tym gani baadae ukiombwa ela oh huoni napitia wakati uliwai niambia?π
Mtu unakaa nae for like 3yrs na kuendelea kanapata mimba unakuja et Sina malengo nae asa iyo miaka mlikua mnafanya mwenzio kaona mna malengo afu unazingua?ππΎ
Aya et nyie mna offer et pussy tu hamjawai kuongea constructive ideas na mpenzi wako mkikutana ni kulana tu kusema ukweli nikapata mtu atakua anataka malengo lazima ntakucheat niende kwake?π
Sio Kila single mama alipenda awe ivyo jaman msituchoshe mnakwaza!πΉπΉπ
Stay focused #2025 #2026#2027.
Hakika yaanππ€£π€£Kila mtu atachanganyikiwa n ishu ya muda tu.
Yani walioenda the Dome masaki kuona wachekeshaji wangepitia humu sidhani kama wangeelekea kule, maana tayar wangesha kinai kucheka. ππ«Wanaume watafanya kazi Kwa jasho na mwanamke atazaa Kwa uchungu andiko limesema na halijasema tufanye kazi Ili tujileee [emoji3][emoji3] Mzee baba fany kazi ugawe jasho lako [emoji3]
Mwajina wa mwanangu Joan βΊοΈYani walioenda the Dome masaki kuona wachekeshaji wangepitia humu sidhani kama wangeelekea kule, maana tayar wangesha kinai kucheka. ππ«
Oh! I bet atakuwa kama mwanaserere kama we mama akee. Sindelela sio sindelela, mdoli sio mdoli....Mwajina wa mwanangu Joan βΊοΈ
πππππππ Aki nimechekaOh! I bet atakuwa kama mwanaserere kama we mama akee. Sindelela sio sindelela, mdoli sio mdoli....
Anakuwa na wewe huku anatafuta mwingine π πUnakuta mtu upo serious nae ajawai kukushirikisha anapitia nn anapitia hard tym gani baadae ukiombwa ela oh huoni napitia wakati uliwai niambia?π
Mtu unakaa nae for like 3yrs na kuendelea kanapata mimba unakuja et Sina malengo nae asa iyo miaka mlikua mnafanya mwenzio kaona mna malengo afu unazingua?ππΎ
Aya et nyie mna offer et pussy tu hamjawai kuongea constructive ideas na mpenzi wako mkikutana ni kulana tu kusema ukweli nikapata mtu atakua anataka malengo lazima ntakucheat niende kwake?π
Sio Kila single mama alipenda awe ivyo jaman msituchoshe mnakwaza!πΉπΉπ
Stay focused #2025 #2026#2027.
Nahisi huu Uzi alofungua hakuna na Nia ya kuzua vichekesho na vihoja ama inaashiria huko mapenzini Kuna mahoka ya kukata na shoka. Mungu saidia mapenzi na mahusiano ya Leo.Anakuwa na wewe huku anatafuta mwingine π π
Mahusiano sasa hivi ni vichekesho πNahisi huu Uzi alofungua hakuna na Nia ya kuzua vichekesho na vihoja ama inaashiria huko mapenzini Kuna mahoka ya kukata na shoka. Mungu saidia mapenzi na mahusiano ya Leo.
Yarudi kuwa yale ya kitabu Cha wimbo ulio bora.
Huyu kampenda mwingineNahisi huu Uzi alofungua hakuna na Nia ya kuzua vichekesho na vihoja ama inaashiria huko mapenzini Kuna mahoka ya kukata na shoka. Mungu saidia mapenzi na mahusiano ya Leo.
Yarudi kuwa yale ya kitabu Cha wimbo ulio bora.
Kimeumana tayariSio Kila single mama alipenda awe ivyo jaman msituchoshe mnakwaza
Inaonekana Hapa anatafuta uhalali tuu. (Verification)Huyu kampenda mwingine
Mwendo wa kupigwa ukuni tu na kujazwa kitumbo ukizingua unaachwa na zawadi ya mtotoMahusiano sasa hivi ni vichekesho π
Sasa watu badala ya kuverify wanaanza kumpiga Danadana. Au ule mpira wa ku_ suffer wanamchanganya.Inaonekana Hapa anatafuta uhalali tuu. (Verification)
"Its just like discussing Malaria with mosquitos"π€£ππ€£ππ€£πππ€£π
View attachment 3262630