Kida ze great
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 746
- 851
Sasa mama boke naweka mguu kichwani kwako hore wako utikisike, haya mraha piga picha
Sasa mama boke naweka mguu kichwani kwako hore wako utikisike, haya mraha piga picha
Wewe Mkurya?Niwekee hela mezani nikupe show 🤣
Hapana boss, huyo ana maana yake nyingine kwanini amenitag uzi wa kina BhokeWewe Mkurya?
NyamburaJoji maratu na mke wake
Ukiita watu wa nchini inabidi ukaze na ulimi. Njoo nikufundishe kucheza litungu. Na kichwa uwe nacho sasa🤣🤣🤣🤸
Mama Bhoke ameturia turi wakifotoa foto na Wariobha!
Ni ritungu na siyo litungu wa kwetu.Ukiita watu wa nchini inabidi ukaze na ulimi. Njoo nikufundishe kucheza litungu. Na kichwa uwe nacho sasa🤣🤣🤣🤸
Ukorre Bhuya.Ni ritungu na siyo litungu wa kwetu.