Ila simtaji

Ila simtaji

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,632
Reaction score
8,452
Baada ya "UMAMA" na "UNAKUFA" sasa ni "ILA SIMTAJI"
Malizia sentensi yako na ila simtaji kama mfano hapo chini

Kuna mtu anachezea sharubu za simba, ila simtaji
 
Mimi nabadilisha kauli.....nasema, nilibadilisha vyupi marafiki wa demu wangu ILA SIWATAJI.
 
Kuna mtu analeta ishu za kishamba humu, ila simtaji
 
duuh rais wetu ana kazi sana
angeona tunachofanya wananchi wake
 
Kuna mtu analeta ishu za kishamba humu, ila simtaji
DSCN2101.JPG
 
Back
Top Bottom