kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,504
- 4,354
Huyu dogo ,ni chalii mdogo tu kamaliza chuo miaka mitatu nyuma.leo nimebahatika kuona salary slip yake,kidogo nizimie yani.
Kuna private sector watu wanakula good time sio poa.
View attachment 3580933
Luten Usu??Hapo jw luten 11, si anakula zaidi ya hio?
Huyo yupo kwenye mishahara ya 250,000/= kwahyo yupo sahihi mkuu.Aseee kidogo uzimie kwa take home ya 1.2M 😆
Me nishawahi kuona salary slip ya police ambae hana cheo chochote bado.. wacha tu aishangae hiyoAseee kidogo uzimie kwa take home ya 1.2M 😆
😀😀🔥Luten Usu??
Kama anazimia kwa 1M basi hali yake ni mbaya zaidi 😥Me nishawahi kuona salary slip ya police ambae hana cheo chochote bado.. wacha tu aishangae hiyo
Looh! 🥺Huyo yupo kwenye mishahara ya 250,000/= kwahyo yupo sahihi mkuu.
Nimeshangaa sana na hiyo pesa nimetoka kuacha baa sa hii😅Serious kabisa 1.7m ndio imekushtua hadi umeanzisha uzi?
Ndio mzeeLuten Usu??