Ila Marekani ni mnafiki saaana

Makonyeza

Member
Feb 2, 2020
69
252
Mwenzao anabondwa mWezi wa Tatu huu wao leo ndo wako bungeni kuomba hela ya msaada.

Kwa hiyo vita kwao si dharura kiasi cha kulazimika kufuata protokali zooote za kimamlaka kupata kibali.

Halafu baada ya hapo wakishapata hicho kibali msaada watakaotoa ni madawa, chakula, propaganda na vitisho

Marekani anamjua Putin,

Marekani anajua madhara ya vita,

Hawezi kuwa mjinga kujiingiza kwenye vita na Urusi,

anajua kitakachotokea,

anajua mtego aliowekewa

_20220429_083108.JPG
 
Urusi mwezi wa tatu huu bado anaendelea na mikwara ya kutaka ukraine asisaidiwe silaha mwanzoni alitishia nyau atakayemsaidia atakiona cha mtema kuni now ndo misaada inazidi tena ya silaha nzitonzito na hana la kuwafanya wasaidiaji amebaki kubweka bila vitendo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom