Ila maisha

Kama unaona maisha ni magumu achana nayo, fanya kitu kingine.
 
In life,unatakiwa kuwa na rafiki Mmoja anayeweza kubeba shida zako,,huyo rafiki anaweza kuwa mmeshare blood labda sister au cousin lakini pia inawezekana akawa rafiki tu wa kawaida...
Bibie,ilikuwa. Kwa sasa, rafiki wa kiume lazima akuchabange,wa kike lazima anufaike kwa namna moja ama nyingine,au na yeye atataka tu naniliyu.
Sema tu utabaki kujiuliza wa kumuamini ni nani?
Miaka ya nyuma,ulikuwa unaweza kukaa kwa rafiki hata mwaka mzima,watu walikuwa waelewa. Sasa hivi,watu walishakuwa wahuni. Atafanyaje mambo yake huku amebanwa?
Je,miaka kama 10 huko mbele,itakuwaje!
Leo hii kuna wajinga atakuja akulilie,hata laki utampa. Ila sasa wewe pata shida,ndo utajua kumbe we mjinga. Utajiona takataka,huku ulijua unamkimbilia aliekukimbilia.
Mara mia uwe na rafiki asiyejiweza,hata asipokupa utajua hana. Kuliko wanaojiona wanaweza,lakini hawana lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…