Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 19,152
- 43,112
Hata Mimi hapo soko la Songea nilishawahi kutapeliwa 😅😅😅Ni Hapa Soko kuu la Songea mkuu
Nimetoka zangu home Bombambili nikashuka kwenye daladala tu wakanidaka wakaniita mpaka majina yangu yote matatu. Story nyingi sana na enzi zile nilikuwa na miaka kama 16 tu. Aisee walinipumbaza akili wakanipeleka mpaka pale Bank ya NBC nikawapa hela 80,000 aisee.
Akili zimekuja kunirudia baadaye, wajinga huwa wanafanya namna sio bure.